Game Theory
JF-Expert Member
- Sep 5, 2006
- 8,546
- 906
Mhariri wa Mtanzania, Deodatus Balile, akiwa ameshika cheti chake cha Shahada ya Uzamili bada ya kula nondozz za Uongozi wa Biashara (MSc Business Management) nje ya Ukumbi wa Middleton katika Chuo Kikuu cha Hull nchini Uingereza. Sherehe za kuhitimu zilifanyika Alhamis ya Januari 24, 2008. asante mdau Ansbert Ngurumo kwa picha na hongera balile kwa nondozzz hizo. karibu homu uendeleze libeneke..
Hongera Balile, by the way hivi Mwenyekiti Mbowe yeye Graduation yake lini? only asking.......