BRN JF-Expert Member Joined Nov 18, 2013 Posts 5,486 Reaction score 7,047 Sep 29, 2026 #1 Amepuliza kipyenge kwenye mechi ya kimataifa ya kufuzu AFCON 2027 kati ya Tunisia na Botswana. Ungekuwa unachezesha kama ulivyochezesha kwenye mechi hii..Utopolo wasingekuwa wanatufunga. Hongera.
Amepuliza kipyenge kwenye mechi ya kimataifa ya kufuzu AFCON 2027 kati ya Tunisia na Botswana. Ungekuwa unachezesha kama ulivyochezesha kwenye mechi hii..Utopolo wasingekuwa wanatufunga. Hongera.
danceforme JF-Expert Member Joined Aug 3, 2026 Posts 645 Reaction score 1,500 Sep 29, 2026 #2 Ata,kuambia Hali ya Hewa