El Magnifico
Member
- Dec 26, 2010
- 14
- 0
Kwa kuwa umeruhusiwa na Mods, naunga mkono hoja 100 kwa 100.
Karibu jukwaani
Hoja imekubaliwa,kuanzia sasa wewe ni mmoja wa wanajamii(makofi).karibu
Una spidi kali kaka..
Mara hii umejua kuweka picha, wakati mimi ilinigharimu miezi 3!!:A S-rap:
Una uenyeji fulani nini broda!!
Hata hivyo karibu saaana!
.......duh kumbe tuko wengi,hadi leo zijaweza kuweka picha.Una spidi kali kaka..
Mara hii umejua kuweka picha, wakati mimi ilinigharimu miezi 3!!:A S-rap:
Una uenyeji fulani nini broda!!
Hata hivyo karibu saaana!
Wandugu wana-jamii naomba kuwasilisha hoja ya kupitishwa kwangu na nyie nyote kuwa miongoni mwa wanajamii wenza wa jukwaa hili tukufu baada ya maombi yangu kukubaliwa na Mods.
Ahsanteni na nawasilisha
Karibu sanaNo Paka Jimmy. By the way nimekuwa mfuatiliaji wa JF kwa muda mrefu sana
Pia nilijiunga J2 na hii picha nimeweka leo. Hivyo niliutumia muda huu vizuri kulifahamu jukwaa na mambo mengine mengi ikiwamo sheria zake, kuweka hizi picha (Avatar) na signature. Vilevile ni member wa blog ya FIFA kwa muda na kule pia kuna kuweka avatars
Kusoma tu ndo kumenipa wenyeji mkuu Paka Jimmy, so usitie shaka