MwanajamiiOne
Platinum Member
- Jul 24, 2008
- 10,470
- 6,596
UMESHAKUA..........Mama.Yametokea Pasaka hii hapo Sinza.
Bwana na Bibi Saleh wakiwa wamejipumzisha jioni moja, ikaingia sms kwenye simu ya Mama ' We mwanamke mbona una roho mbaya Pasaka yote umekula mwenyewe hujaniletea mtoto nami nikae nae. Nakwambia niletee mwanangu kesho la sivyo tusijuane tena........'
Hii ni sms ilotoka kwa Mpemba kwenda kwa Mke wa Saleh.
Na ndio ilomfungua macho Mr. Saleh kuwa mimba aloilea, iliyomletea mwanae wa kiume (Baraka) haikuwa yake wala mtoto si wake ni wa Mpemba.
Mama Baraka akiulizwa anakimbilia kukoroma kwa nini mume ashike simu yake.
Source: Leo Tena Clouds FM. 16th April 2009.
Maswali yangu:
1. Wewe ni mke wa watu na umeolewa kwa nini ucheat?
2. Ok Umeamua kucheat ndo hadi ubebe na mimba jamani? Uroho/ ulafi gani huo? Unakula hadi unakomba mboga?
3. Haya basi imenasa, kwa nini umwambie huyo wa nje kuwa una mimba yake wakati unajua kabisa unae mumeo?
Basi mswada huo wa fidia kwa wale wataogungulika kulea watoto wasio wao walipwe fidia, upitishwe.
UMESHAKUA..........Mama.
Nina maana ya kwamba umekua wewe my love KIUMRI.He Bonnie haya nifafanulie nimekua mie au huo mswada maana tungoyo tata!.
Mama, unavyokua kiumri ,ndivyo unapata revelations za ajabu kila siku.He Bonnie haya nifafanulie nimekua mie au huo mswada maana tungoyo tata!.
kwani wewe hujui? wapemba wanapenda kula TIGO...Jamani lazima tujiulize kwa nini hawa Wapemba wanavuluga ndoa nyingi za watu?Visa kibao vinawahusisha sana hawa wapemba duh au ufukara na umaskini ndo unachangia wanawake wengi kuwababaikia wapemba?Maana wapemba ndio wenye pesa wengi wao mujini hapa na ndo wenye maduka...
Kwa mtindo huu nimekata tamaa kuoa kabisa.
kwani wewe hujui? wapemba wanapenda kula TIGO...
sikilizeni Dullonet Tanzania | Sikiliza Hekaheka toka mtaani na CloudsFM
masanilo kazaliwa pwani kakulia pwani alikuwa anakwenda likizo wiki 2 kwao kahama.......so ni mpemba full....Masanilo na Fidel80 ni wapemba wale?
Masanilo na Fidel80 ni wapemba wale?
kwani wewe hujui? wapemba wanapenda kula TIGO...
sikilizeni Dullonet Tanzania | Sikiliza Hekaheka toka mtaani na CloudsFM
mkuu umeisikiliza hio link niliokuwekeeni?hahahaha mzee umenifurahisha sana Yo YO kumbe watu wanapinga sana tiGo humu wkt kwa wapemba watu wanajiexpress themselves dah noma tupu.
Tafadhali dada pole pole ni msukuma chapa Ng'ombe (Nzagamba gete gete!!)
mkuu umeisikiliza hio link niliokuwekeeni?
Kama umekataa kufuga ng'ombe, basi maziwa usinywe!Hapo Mwana ndo kitanda kimezaa haramu.
Kumbe kiumbe ni cha mpemba..
Jamani lazima tujiulize kwa nini hawa Wapemba wanavuluga ndoa nyingi za watu?Visa kibao vinawahusisha sana hawa wapemba duh au ufukara na umaskini ndo unachangia wanawake wengi kuwababaikia wapemba?Maana wapemba ndio wenye pesa wengi wao mujini hapa na ndo wenye maduka...
Kwa mtindo huu nimekata tamaa kuoa kabisa.
Kama umekataa kufuga ng'ombe, basi maziwa usinywe!
Kama ni hivyo, tegemea maziwa yaliyoongezwa maji kila siku. Unadhani unakunywa maziwa kumbe maji ya mferejini!Weweeeee maziwa kama kawa sasa mfugaji atamuuzia nani maziwa?Kama sio mimi...
Masanilo na Fidel80 ni wapemba wale?