Bluray usitake kunambia hujaoa!?Sasa unajua kwa nini hatutaki kuoa huh?
...unajua,
kuna wanawake wengine hawana jema wajameni. Mwanaume 8am-5pm ulikuwa unaumizana kichwa na mabosi huko kazini, badala ya kupata farijiko la akili ukirudi nyumbani ndio kwanza unakutana 'maza-hausi' kanuna nuna tu bila sababu...
Ukimuuliza " una nini leo?" anatingisha kichwa tu hakuna lolote...
Ajabu yenyewe 'mingine' utakuta imeudhiwa labda kazini, madonge yao wanakuletea wewe nyumbani. Hata ukijibaraguza na TV au na JF kwenye kona ya jicho unamuona na kila dalili za shari shari tuuu,... hasemi lolote almuradi kaamua 'kukuweka' uncomfortable as if hapo nyumbani unamuwekea usiku...
No wonder wanaume wengi wanaishia Grocery, Pub na sehemu nyinginezo kujiliwaza na marafiki, au farijiko la 'nyumba ndogo'...
Wenye roho ngumu kama mimi ndio inabidi kubanana nao tu hivyo hivyo, akinuna nami nauchuna vile vile...
Nyumba yangu kwanini aifanye 'kituo cha polisi' bana?
kiongozi Mbu..yaani copy right uliyoyasema na anavyofanya my wife wangu..hahahaaaa naishiaga samaki samaki kupiga tusker weeee nikirudi ni kulala tu
...yaani acha tu,You are not alone.... !!!
basi tu Mbu inabidi mtusamehe, saa zingine mara moja moja mtu unasikia hasira tuuu hata mwenyewe unajiuliza kwa nini hupati jibu..
mi huwa anaweka ule wimbo wa Marlaw - Bado umenuna,halafu anakata mauno dizain fulani hivi, yaani kabla hata wimbo haujaisha najikuta nimejiunga nae stejini
Jaribu kufuatilia mzunguuko kamili wa hedhi wa mkeo/gf wako.Kuna kitu kinaitwa Pre-menstrual Syndrome(PMS), hutokea cku chache kabla ya Mwanamke ku-bleed hapa Jotoridi huwa linapanda kidogo(mild fever) na Hormonal changes husababisha ajisikie Uncomfortable,Kichwa kuuma,maziwa kuuma na sometimes mwili wote unamuuma hasa hasa sehemu ya chini ya kitovu na mgongoni nk. Jaribu kumsoma mkeo/gf wako km ana matatizo hayo.Mara nyingi hii ni moja ya sababu zinazowafanya wawe wananuna.Nafikiri kila mtu anafahamu product ya Discomfort,mm wife huwa namfanyia massage ya Kichina kimtindo na anarudi katika hali yake coz yale maumivu ya mwili yanafanana na yale ambayo mtu huyapata anapofanya mazoezi kwa mara ya kwanza baada ya kutofanya kwa muda mrefu, baada ya cku 2 au 3 huwa unasikia maumivu fulani hivi lkn mtu akikugusa unasikia raha ya kimtindo basi yanafanana kidogo kwa mujibu wa mke wangu.So mkuu jaribu kuangalia hilo,km siyo basi You have to work out ili ujue tatizo ni nini,lkn all in all wanawake wanahitaji kusomwa sana ili uishi nao vizuri.
kiongozi Mbu..yaani copy right uliyoyasema na anavyofanya my wife wangu..hahahaaaa naishiaga samaki samaki kupiga tusker weeee nikirudi ni kulala tu
Wazee kuna sababu nyingi sana ila mojawapo ni communication; jaribu kufanya yafuatayo
Baada ya wiki hebu njoo tutafakari, mie niko wiki ya tatu naona kuna maendeleo ingawaje kwa mbali, maana siku hizi napata sms za uko wapi, mambo etc...
- ongeza juhudi kwenye kilimo kwanza, ukianzia kuboresha maandalizi
- mpige ka-shopping au offer zisizo na ratiba
- Mtoe japo mara mbili tatu
- Msifie [hata kama ni uongo]
- Ongeza zaidi kilimo kwanza
JustT Try this at Home!!
...unajua,
kuna wanawake wengine hawana jema wajameni. Mwanaume 8am-5pm ulikuwa unaumizana kichwa na mabosi huko kazini, badala ya kupata farijiko la akili ukirudi nyumbani ndio kwanza unakutana 'maza-hausi' kanuna nuna tu bila sababu...
Ukimuuliza " una nini leo?" anatingisha kichwa tu hakuna lolote...
Ajabu yenyewe 'mingine' utakuta imeudhiwa labda kazini, madonge yao wanakuletea wewe nyumbani. Hata ukijibaraguza na TV au na JF kwenye kona ya jicho unamuona na kila dalili za shari shari tuuu,... hasemi lolote almuradi kaamua 'kukuweka' uncomfortable as if hapo nyumbani unamuwekea usiku...
No wonder wanaume wengi wanaishia Grocery, Pub na sehemu nyinginezo kujiliwaza na marafiki, au farijiko la 'nyumba ndogo'...
Wenye roho ngumu kama mimi ndio inabidi kubanana nao tu hivyo hivyo, akinuna nami nauchuna vile vile...
Nyumba yangu kwanini aifanye 'kituo cha polisi' bana?
Wazee kuna sababu nyingi sana ila mojawapo ni communication; jaribu kufanya yafuatayo
Baada ya wiki hebu njoo tutafakari, mie niko wiki ya tatu naona kuna maendeleo ingawaje kwa mbali, maana siku hizi napata sms za uko wapi, mambo etc...
- ongeza juhudi kwenye kilimo kwanza, ukianzia kuboresha maandalizi
- mpige ka-shopping au offer zisizo na ratiba
- Mtoe japo mara mbili tatu
- Msifie [hata kama ni uongo]
- Ongeza zaidi kilimo kwanza
JustT Try this at Home!!
Pole sana Mkuu Mbu. Unajua kuna siku nilikuwa nazungumza na rafiki yangu kazini (Mwanaume ambaye yuko dept nyingine) akadai kazi yake inamfanya anakasirika sana na kuwajibu watu hovyo hovyo hata mke wake pia. Akitoka kazini ni lazima alale for at least one hour in order to calm down and be able to deal with family and friends in friendly manners. Kusema kweli kazi yake si ya kumfanya akasirike kiasi hicho maana nawajua wengi tu katika dept ya huyu bwana ambao baada ya kuwauliza wlidai ni kweli wakati mwingine kazi yao ina maudhi lakini wengi wao wakishafunga ofisi ya ofisini wanayaacha ofisini na wakirudi majumbani mwao ni kwenda kuenjoy na family and friends. Kwa hiyo hili hata Wanaume pia wanalifanya.
Mbu..ulikuwa na nini ulipoanzisha hii thread??...aaaah, mkuu hiyo ya menstrual circle mbona mwenzio na 'Phd' yake bana... kuna wakati nilikuwa extreme mpaka akawa anaogopa mbona namjua sana...
Attention seekers tu hawa saa nyingine, dawa ni kuuchuna tu, la kama roho yako haikupi unaishia mitaani ukafanywe mobile ATM au 'mfadhili' pale Jolly Club'
Mbu..ulikuwa na nini ulipoanzisha hii thread??
Yaani umetupaka kwa kwenda mbele.Mbona wapo wanaume wanaonuna hadi unashangaa mwanaume kununana wapi na wapi!?...
Kununa hata wanaume hununa..nina shosti wangu yeye mumewe ananuna jumatatu hadi jumapili!......VC, ...'paka wakiondoka panya hutawala'...wikiendi kina Nyamayao, Mwj'1, na wengineo wanakuwa off...
...i bet kesho j'3 si madongo hayo nitayotupiwa,...
sijui niifunge thread? π
Uzuri wenyewe kina baba wengi tunakubaliana kuwa mnayo tabia hii ya ajabu kina mama...