Nyamayao,
Haya ndiyo majaribu ya shetani! Hata kabla ya kujaribu kushauri, naomba niseme kitu kimoja. Hivi, huyo mwanaume anafikiria nini kichwani kumletea mkewe ushahidi kamili kuwa siku zote amekuwa akizini nje ya ndoa?
Leo wamekorofishana, anamleta mtoto, wakipatana itakuwaje? Si ndo wataendelea kujivinjari na akipatikana mtoto mwingine, yaya wa bure yupo atalea!
Ingekuwa mimi nadhani ningekataa maana hata kisheria mtoto kama huyo ni mali ya mama mzazi na wajibu wa huyo baba ni kutoa matunzo tu hadi atakapokuwa na umri wa kutosha ambapo amri ya mahakama itahitajika kumpa huyo baba rasmi!
Huyo bwana kama mamake mzazi yupo, ampelekee mjukuu!
Mbona sipo tu haiwezekani kumpokea kwa vile bado anatakiwa apate mapenzi ya mama mzazi ambaye bado yu hai! Asitie mguu hadi aruhusiwe kisheria ( Ingawa mtoto hana kosa wala hatia hapo ila kina baba mnatukwaza sana tu.
Ningekenda tafuta mtoto mwingine wa dada yangu nimwambie nami ni wangu tofauti tu ni kuwa mimba ilibebwa na mwenzangu (mwanaume) ah mnakera sana ninyi.
Wanaume hawa jamani jamani mtu kaoa hadi anafikia kuzaa nje ya ndoa!Da ni kazi sana kuletewa mtoto wa nje ambae amezaliwa ukiwa umeshaolewa!hawa tu tunaowakuta some time roho huwa inauma!
Any way ampokee tu huyo mtoto hana jinsi yameshatokea!
mwanaume anasema gia ya yeye kuachana kabisa na huyo binti ni yeye kumchukua mwanae akae nae ili huyo binti aclete usumbufu wa matumizi ya mtoto cjui nini na nini kwa mtoto na mambo kibao, mie nilimwambia ningekuwa mie hapo bado hajanishawishi na ictoshe alishamuuliza akamkana huy binti, sasa hivi ndio aone wa kumletea mzigo?
Wanaume ndo walivyo ukimuuliza anakana siku ukija kugundua na vigezo vyote vinaonyesha ni ukweli hapo ndo anaanza ooh ilikuwa bahati mbaya!Any way ni mme wake atafanyanini?achukue huyo mtoto alee!mwanaume anasema gia ya yeye kuachana kabisa na huyo binti ni yeye kumchukua mwanae akae nae ili huyo binti aclete usumbufu wa matumizi ya mtoto cjui nini na nini kwa mtoto na mambo kibao, mie nilimwambia ningekuwa mie hapo bado hajanishawishi na ictoshe alishamuuliza akamkana huy binti, sasa hivi ndio aone wa kumletea mzigo?
ni kweli unamlea kwa roho moja! ila some time inakuwa ngumu hasa akikuudhi!ukamchapa anaweza akawaza kwa vile si mama yangu!any way hata huyu wa kuletewa ukiwa umeshaolewa du inauma kweli!ila mtoto hana kosa utafanya nini inabidi umchukue tu!mie wangu niliemkuta namlea kwa roho 1, na ikatokea bahati mbaya mama yake alifariki lakini mie nikiwa tayari nipo nae kwangu, so kwasasa ndio mwanangu wa 1 akifatiwa na wangu mwenyewe, wa kuongeza atatoka kwangu tu mwingine yoyote ctamtambua hilo ni wazi mpaka kwa mama wa mr analijua.
Tatizo nyie wanawake iwa mnashindwa kuelewa kitu kimoja.
Nyamayao mwambie mwenzio mtoto hana kosa mwenye kosa ni baba....mtoto kaja duniani bila kujua baba ana wake wangapi?Unapo kataa unamkosea haki mtoto huyo pamoja na muumba aliye muumba kitanda hakijazaa haramu kiumbe hicho anakikataa kwa nini?
Umama wa kambo huo sio mzuri.
EFidel80 kaka mtoto wa miaka 2 haki yake ni kukaa na mama yake mzazi na si mama wa kambo tena ambaye bado anamtoto mchanga wa miezi 4. Hatapata yale mapenzi anayotakiwa awe nayo puleeeez
.... Yaani nyamayao ningekuwa na wembe ngeshautafuna kabisa hapa kwa hasira. Amwambie wakaandikishiane Ustawi wa jamii ambako huyo mwanaume mshahara wake utakuwa unakatwa toka kwa mwajiiri wake na kupelekwa ustawi then yule mwanamke ataenda kuchukua matumizi kule pasipo kuonana wal akumbugudhi huyo mzee.
Ndo maaana iwa tunasema nyie wanawake mna roho mbaya sana mna roho za kutu roho za kwa nini...hivi kwa nini jamani utafikiri sio mzazi?Je mama yake angekufa?Huyu mama kafumaniwa jamaa kaamua kuchukua kilicho chake mnataka afanyaje?
kwa maelezo ya frnd jana inaonekana mumewe anataka tu kumchukua na kukaa nae hapo nyumbani, mie sielewi kabisa jamani., WOS kuna mahali amegusia labda mtoto apelekwe kwa mama mzaa baba, mama mzaa baba ni mzee sana sio yule wa kumsumbua na malezi tena,.
Ndo maaana iwa tunasema nyie wanawake mna roho mbaya sana mna roho za kutu roho za kwa nini...hivi kwa nini jamani utafikiri sio mzazi?Je mama yake angekufa?Huyu mama kafumaniwa jamaa kaamua kuchukua kilicho chake mnataka afanyaje?
Fidel ndio maana nikasema mradi mama mzazi yu hai hajafa (plz pitia post zangu zilizotangulia). Hata huyo mama (mke wa jamaa) ajiweke katika nafasi ya huyo binti, umejifungua mwanao then baba wa mtoto aje amchukue akiwa na miaka miwili wakati wewe mmwenyewe uko hai eti kisa hataki muwasiliane tena? Unafikiri Ustawi wa jamii kazi zao nini? Atam,pata mwanae umri ukisharuhusu kisheria. Ingekuwa mama mzazi amefariki ningemchukua na kumlea kwa mapenzi. yote na wala si kama unavyofikiria.
ni kweli unamlea kwa roho moja! ila some time inakuwa ngumu hasa akikuudhi!
!any way hata huyu wa kuletewa ukiwa umeshaolewa du inauma kweli!ila mtoto hana kosa utafanya nini inabidi umchukue tu!