BABA JUICE
JF-Expert Member
- Sep 5, 2010
- 426
- 54
Kuna ndugu yangu kaibiwa kaenda polisi(osterbay) kufungua file wamemtoza shillingi elfu 30 ya kufungulia file police watatu kumkamata mualifu akatoa elfu 60, na akalipia na tax shilingi elfu 25 na eti pingu hazikai kituoni hadi kwenye kotazi zao, garama yote ni shilingi 115,000/= nikajiuliza hawa polisi hawana mishaara au mishahara yao ni midogo sana....na bado wamemfanya ndugu yangu huyu mradi wanampigia simu wanaomba pesa za kumfuatilia huyo mwizi kwani hadi muda huu naandika habari hii mwizi mwenyewe hajakamatwa.....kwakweli sielewi kazi za polisi na garama zao kwani mi najua polisi ni huduma.....hata file la kesi mahakamani hufungui kwa elfu 30. Nielimisheni wanajamii....TUJENGE PAMOJA.
Pole sana! pale kuna chumba fulani ukiona anakuitia huko ujue ni Rushwa, halafu chumba chenyewe ni cha wazi ukiwa makini utaona kila anayeingia huko ameshashika kitu kidogo mkononi. kuna wakati walinitupia barua za dhamana ili wanibane konani lakini niliokoka baada ya kuwa na namba ya simu ya mmoja wa wakubwa wa pale, nikampigia akaniuliza jina la police aliyenitupia dhamana akaniambia subiri. Baada ya muda mchache yule police akaniita na kuomba zile dhamana. Akaniita kwenye hicho chumba na kuniomba fedha, nikamwambia sina, akang'ang'ania nikamwambia nitakutafutia kesi ikaenda mahakamani. Nilivyopata dhamana hakuniona ng'o!!! mpaka leo!
kuna ndugu yangu kaibiwa kaenda polisi(osterbay) kufungua file wamemtoza shillingi elfu 30 ya kufungulia file police watatu kumkamata mualifu akatoa elfu 60, na akalipia na tax shilingi elfu 25 na eti pingu hazikai kituoni hadi kwenye kotazi zao, garama yote ni shilingi 115,000/= nikajiuliza hawa polisi hawana mishaara au mishahara yao ni midogo sana....na bado wamemfanya ndugu yangu huyu mradi wanampigia simu wanaomba pesa za kumfuatilia huyo mwizi kwani hadi muda huu naandika habari hii mwizi mwenyewe hajakamatwa.....kwakweli sielewi kazi za polisi na garama zao kwani mi najua polisi ni huduma.....hata file la kesi mahakamani hufungui kwa elfu 30. Nielimisheni wanajamii....tujenge pamoja.
Huyo ndugu yako ni mtega nyoka.....zatzwhy wamempiga.....mwambie ajitahidi kuwa mwelewa wa mamboKuna ndugu yangu kaibiwa kaenda polisi(osterbay) kufungua file wamemtoza shillingi elfu 30 ya kufungulia file police watatu kumkamata mualifu akatoa elfu 60, na akalipia na tax shilingi elfu 25 na eti pingu hazikai kituoni hadi kwenye kotazi zao, garama yote ni shilingi 115,000/= nikajiuliza hawa polisi hawana mishaara au mishahara yao ni midogo sana....na bado wamemfanya ndugu yangu huyu mradi wanampigia simu wanaomba pesa za kumfuatilia huyo mwizi kwani hadi muda huu naandika habari hii mwizi mwenyewe hajakamatwa.....kwakweli sielewi kazi za polisi na garama zao kwani mi najua polisi ni huduma.....hata file la kesi mahakamani hufungui kwa elfu 30. Nielimisheni wanajamii....TUJENGE PAMOJA.
Pesa zote hzo mtu anakubali kutoa kirahisi rahisi,nahisi huyo ndugu yako alitaka kumbambikizia mtu kesi!Kuna ndugu yangu kaibiwa kaenda polisi(osterbay) kufungua file wamemtoza shillingi elfu 30 ya kufungulia file police watatu kumkamata mualifu akatoa elfu 60, na akalipia na tax shilingi elfu 25 na eti pingu hazikai kituoni hadi kwenye kotazi zao, garama yote ni shilingi 115,000/= nikajiuliza hawa polisi hawana mishaara au mishahara yao ni midogo sana....na bado wamemfanya ndugu yangu huyu mradi wanampigia simu wanaomba pesa za kumfuatilia huyo mwizi kwani hadi muda huu naandika habari hii mwizi mwenyewe hajakamatwa.....kwakweli sielewi kazi za polisi na garama zao kwani mi najua polisi ni huduma.....hata file la kesi mahakamani hufungui kwa elfu 30. Nielimisheni wanajamii....TUJENGE PAMOJA.