Mwanaume mzima unatongozwa huku wang'ata vidoleNimekutana na Pisi [Mrembo] moja hivi, ni kama mwezi sasa hivi. Basi nikaamua kumwaga zangu verse, demu akakubali na akaniambia kama amenipenda toka muda, lakini hataki mahusiano na mtu yeyote.
Ananiambia pia anapata wivu nikiwa nimechill na madem wengine. Sasa sijui hii imekaaje au ni tapeli? πππ
Yupo kwenye mahusiano yasio eleweka ila huyo mtu aliekuwa nae anamkubari au wameachana lakini Bado anatamani kuwa nae kwahiyo wewe anataka kukuweka kama akiba ili mambo yakienda vizuri kule Kwa jamaa akuteme na mambo yakienda vibaya kule Kwa mpenzi wake mtaanzisha mahusiano.Nimekutana na Pisi [Mrembo] moja hivi, ni kama mwezi sasa hivi. Basi nikaamua kumwaga zangu verse, demu akakubali na akaniambia kama amenipenda toka muda, lakini hataki mahusiano na mtu yeyote.
Ananiambia pia anapata wivu nikiwa nimechill na madem wengine. Sasa sijui hii imekaaje au ni tapeli? πππ
Yupo kwenye mahusiano yasio eleweka ila huyo mtu aliekuwa nae anamkubari au wameachana lakini Bado anatamani kuwa nae kwahiyo wewe anataka kukuweka kama akiba ili mambo yakienda vizuri kule Kwa jamaa akuteme na mambo yakienda vibaya kule Kwa mpenzi wake mtaanzisha mahusiano.
Nimewaza tu