Mwana wa Mungu
JF-Expert Member
- Aug 14, 2008
- 1,003
- 86
Jamanieee, nasema toka moyoni kabisa, sisemei kwa unafiki. kuna tatizo hapa. DADA ZANGU WAWILI wameolewa kwa waislam. wote wanaishi hapa hapa dar, na wamezaa nao watoto zaidi ya watatu kila mtu. nawapenda sana watoto wale, shemeji zangu na dada zangu tunashirikiana vizuri tu.
HIVI MAHAKAMA YA KADHI, ikiwagusa dadazangu hawa, mimi nitakuwa sijaathirika? hasa kwenye masuala ya mirathi pale watakapodhurumiwa kwa mali kugawiwa kwa watu wengine wao kupata moja ya nane tu, pale atakapokuwa kama mtumwa akijua wakati wowote anaweza kupewa talaka. wanavumilia sana, kwasababu mmoja ana wanawake anataka kuoa wengine. mwingine wamemweka kama jini, anavaa nguo nyeusi kitintedi, halafu hakika hatoki nje. muda karibia wote anakaa ndani, akikutwa nje, hadi tunaenda kusuluhisha hiyo kesi, SI WIVU HUO. akiruhusiwa kutoka nje kwenda sokoni basi anavalia tintedi. anarudi haraka na nyumba ina grill yaan inaweza hata ikiungua akaungulia humo humo. hiyo tumeikubali kwasababu ni nini yao.
tatizo ni kwamba, mambo yoote ya mahakama ya kadhi, dada zangu wakitendewa mimi sitaathirika niliye mkristo tena mlokole? najua kuna wengi ambao ndugu zao wameolewa kwa waislam hapa, sisi watz tunaoleana tu, tofauti na nchi zingine kama kenya.
naomba ushauri na uelewa. NAOMBA MTU asiseme kuwa mahakama ya kadhi itahusu mirathi na ndoa tu, maana hiyo ITAKUWA SI IBADA. itakuwaje usema mahakama ya kadhi ni ibada, halafu upunguze mambo mengine ya kwenye ibada uweke machache? yaani mnatuhakikishiaje kuwa haitakuwa kufyeka mikono au......kwa wazinzi, au kupigwa mawe hadi wafe kama SOMALIA? Je, itakuwaje ibada kwa kutoa mambo mengine na kuweka machache, si changa la macho tu hilo mnataka dada zetu waumie?
Hakuna kulazimishana katika Dini. Kama wameamua kuwa Waislam inakuuma nini?, wao ndio wanajua kilicho ndani ya Uislam, wewe inakuuma nini?.
zaidi ya yote, unajua kama mahakama hizi zitakuja, hapo ndo wanawake karibia wote wa kiislam wataikimbia hiyo dini,kwasababu wataona wanaumia bure. Dada zangu wanalazimishwa kufuga majini ati majini mazuri...hahaha. na ninamwomba Mungu wataokoka tu. kwasababu sioni kama wana usalama wowote kwenye hiyo dini ambayo haina uvumilivu.
nafikiri hauijui dini yako. kuna wanawake wangapi wa kiislam wa ulaya mashariki,na middle east ambao wanalazimishwa hata kujilipua, wakiambiwa wataenda kwa mungu, wakitishiwa kuwa wakikataa watasingiziwa kuwa wamezini na kupigwa mawe hadi wafe? HAUJUI HILI?Shida yake huyu jamaa haikuwa kuzungumzia Mahakama ya Kadhi, anakoelekea kunajulikana. Ndio maana sasa anahama toka Mahakama ya Kadhi na kuja kutueleza kuhusu kufuga Majini. Hebu tupe shule Dada zako wanafugaje hayo Majini?.
Sasa kama Mahakama ya Kadhi itasababisha wanawake karibia wote wa kiislam kuhama dini yao. hiyo si bora wenu Wakristo. Mngeikubali ili mpate wafuasi watakaohama toka Uislam. Sasa sijui nchi zenye hizo mahakama wangapi walishahama.
Hoja nyingine kazi kweli kweli kuzifikiria.
ni dada zangu, damu moja na mimi, haiingii akiliku kuwa wananiuma kama wakitendewa vitendo vya unyanyasaji?
zaidi ya yote, unajua kama mahakama hizi zitakuja, hapo ndo wanawake karibia wote wa kiislam wataikimbia hiyo dini,kwasababu wataona wanaumia bure. Dada zangu wanalazimishwa kufuga majini ati majini mazuri...hahaha. na ninamwomba Mungu wataokoka tu. kwasababu sioni kama wana usalama wowote kwenye hiyo dini ambayo haina uvumilivu.
Nahisi ilii swala kama nilisha wahi kulisoma sehemu, ila sikmbuki wapi!Jamanieee, nasema toka moyoni kabisa, sisemei kwa unafiki. kuna tatizo hapa. DADA ZANGU WAWILI wameolewa kwa waislam. wote wanaishi hapa hapa dar, na wamezaa nao watoto zaidi ya watatu kila mtu. nawapenda sana watoto wale, shemeji zangu na dada zangu tunashirikiana vizuri tu.
HIVI MAHAKAMA YA KADHI, ikiwagusa dadazangu hawa, mimi nitakuwa sijaathirika? hasa kwenye masuala ya mirathi pale watakapodhurumiwa kwa mali kugawiwa kwa watu wengine wao kupata moja ya nane tu...
wewe kama huna kasoro kichwani basi unamatatizo makubwa sana ya kisaikolojia....kwanza mpaka hao dada zako wameolewa huko ina maana wote mmeridhia...halafu acha kutukana dini za watu...wewe kaa na dini yako na wao waache na dini zao...jambo usilolijua achana nalo...ninachoweza kuona hapa ni upotoshaji tuuuuuuni dada zangu, damu moja na mimi, haiingii akiliku kuwa wananiuma kama wakitendewa vitendo vya unyanyasaji?
zaidi ya yote, unajua kama mahakama hizi zitakuja, hapo ndo wanawake karibia wote wa kiislam wataikimbia hiyo dini,kwasababu wataona wanaumia bure. Dada zangu wanalazimishwa kufuga majini ati majini mazuri...hahaha. na ninamwomba Mungu wataokoka tu. kwasababu sioni kama wana usalama wowote kwenye hiyo dini ambayo haina uvumilivu.
Nadhani mpaka hapo atakuwa amejielewa.wewe kama huna kasoro kichwani basi unamatatizo makubwa sana ya kisaikolojia....kwanza mpaka hao dada zako wameolewa huko ina maana wote mmeridhia...halafu acha kutukana dini za watu...wewe kaa na dini yako na wao waache na dini zao...jambo usilolijua achana nalo...ninachoweza kuona hapa ni upotoshaji tuuuuuu