Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 34,282
- 44,793
We lack many professions due to our lagging in science and technology. Kazi kama hizo za forensic science zina hitaji state-of-the-art equipment ambazo sisi hatuna.
forensic ni kitengo special ndani ya serikali, ambacho sio kwamba kinatolewa kama njugu vyuoni, kwani kama sio tu kwamba kina deal na criminal ishu ,kuna mambo mengine tu kinaungwa nayo. ukisoma pale muhimbili udaktari, miongoni mwa masomo ni forensic medicine mwaka wa nne, na naweza kusema, wanaelekeza vizuri sana,kwani ishu kubwa ni kuchukua historia ya matukio na sample.
kw asasa inafanywa na pathologist wakishirikiana na mkemia mkuu wa serikali. mashine za uchunguzi zipo na viambata vyake. huyo dadako apitie kule, lakini lazima ajue sayansi namasomo ya muhas sio mchezo. so kama hamjui mambo tafadhari msiibeze Tanzania.
kuna vitu vingi hamvijui lakini vipo. japo sio kwa kiwango mnachotaka.
Hatuna kwa sababu hatuna uwezo wa kuwa nazo? sababu ya kuwa nazo, au kwa vile hatuoni umuhimu wa kuwa nazo? Unaweza vipi kwa mfano kuhakikisha tunajenga jamii ya kisasa bila kujiandaa kupigana na uhalifu wa kisasa? Maendeleo ya teknolojia mahali popote yameenda sambamba na na maendeleo ya teknolojia ya uhalifu na kudhibiti uhalifu.
I think it's a matter of priority
Mkuu Mwanakijiji,
Nafikiri kwa Tanzania pale UDSM panatakiwa kuanzishwe kitivo cha mambo ya uhalifu au ughaibuni tumezoea kama Criminology Deparment na hayo mambo ya forensic sciences yanakuwa ni part yake.
Kwa Ulaya na Marekani, watu waliosomea forensic sciences wanakuwa na kampuni hizo na huwa wanashirikiana na polisi kufanya kazi za uchunguzi kama wa tukio la Temeke.
Kwa kifupi ni kwamba kunahitajika mambo mengi waalimu, technology, vitendea kazi, wataalam wenyewe na mwisho clean organization kusimamia mambo hayo.
Excuse me! Hebu niambie what are our priorities as a country? Kwanza Kilimo mmmmmmhh
forensic ni kitengo special ndani ya serikali, ambacho sio kwamba kinatolewa kama njugu vyuoni, kwani kama sio tu kwamba kina deal na criminal ishu ,kuna mambo mengine tu kinaungwa nayo. ukisoma pale muhimbili udaktari, miongoni mwa masomo ni forensic medicine mwaka wa nne, na naweza kusema, wanaelekeza vizuri sana,kwani ishu kubwa ni kuchukua historia ya matukio na sample. kw asasa inafanywa na pathologist wakishirikiana na mkemia mkuu wa serikali. mashine za uchunguzi zipo na viambata vyake. huyo dadako apitie kule, lakini lazima ajue sayansi namasomo ya muhas sio mchezo. so kama hamjui mambo tafadhari msiibeze Tanzania. kuna vitu vingi hamvijui lakini vipo. japo sio kwa kiwango mnachotaka.

Ndugu yangu MMKJ
Ile DNA Analyser wengine wanaiita sequencer pale kwa mkemia mkuu ni white elephant, sijui hata kama imeishawashwa na kutumika, ipo kisiasa zaidi si kwenye kusaidia issue za kisheria.....
Ndiyo wanatumia ile 3100 Genetic Analyser, gharama yake iliripotiwa ni kama dola laki tatu. Kabla ya hapo walikuwa wanafanya mambo manually na wanasema ilichukua masaa 72 kufuatilia sample moja wakati sasa wanaweza kufanya uchambuzi huo witthini hours tena kwa sample zaidi ya moja.
Sasa, ni kwa kiasi gani hiyo inatumika katika masuala ya law enforcement? Je tunaweza kuwa na nyingine kwa ajili ya mambo ya law enforcement na kusplit some officials from Government Chemist na kuwa deputize na kuboresha kitengo cha Forensics cha Jeshi la polisi.
Wabongo bwana! Kila kitu kukuza. Hata CID anataka kujifanya shushushu. Kuna unyeti gani katika forensik sayansi isitolewe kama njugu?
Hivyo haina haja kama mkemia mkuu wa Serikali ipo, na polisi nao wawe na yao, hata hiyo ya mkemia mkuu sidhani kama itakuwa inatumika sana kiasi hicho kwakupunguza gharama.