Kwa hili anashangaza.Hajatumia busara kuondoka.Na akimwambia kuwa ni kweli alizitumia hizo kondomu ndio atapona?au ataridhika?Hata mimi namshangaa huyo mwanamke! Namshangaa kwa kweli!
Huyo dada naye ana makosa.Amekurupuka kuondoka.Ni kweli inauma lakn alipaswa kuwa na subira.At least angemuwekea mitego kwani za mwizi ni arobaini ili hata akiondoka awe na ushahidi kamili.Isitoshe kama huyo mume ndio tabia yeke alipaswa kulijua hilo wakati wa uchumba ili wavumiliane .
Mwambie huyo dada arudi haraka kwa mumewe
Mwanaume smart hawezi fanya hayo! Hilo ni changa la macho tu kawekewa na wahudumu wa Hotel ama Guest alokuwa akiishi! Mshauri arudi kwa mumwewe. Ukizingatia wanaume wamekuwa wa taabu na wengi wababaishaji si waowaji
Hii kali, kwani, huyo mume akubali tu ukweli mambo yaishe,na ninajua ukweli anaujua sema kukubali ni noma, na hata hivyo kuondoka kwa mume sidhani kama ni solution, that dada inabidi amuite mume na watu ambao anaona wanabusara kuyamaliza hayo.
Kwa hili anashangaza.Hajatumia busara kuondoka.Na akimwambia kuwa ni kweli alizitumia hizo kondomu ndio atapona?au ataridhika?
heee kumbe? mkaka anasema yeye ki ukweli hajui lolote, (ctaki kumuhukumu)...shaka langu ni hapo kwanini mhudumu ampakie nguo zake, alishindwa nini kupaki tu nguo jamani.
Hawa wanaume wa cku hiz Nyamayao hawajifichi sio kama wa zamani.Wanaringa eti kwa sababu '' wanaume waoaji ni wa shida''Ukikaa na mtu miezi 6 utamjua tu,hasa chumba zetu hizi za kuanza kutest kwanzaZD umenifanya kidogo nipige yoweee, haaa nani anaonyeshaga maovu yake akiwa nje?...hutakaa kumjua mtu vilivyo kama mtakavyoanza kupuliana pamoja ucku kucha, kugusana m.a.t.a.ko ucku kucha....hapo ndio utajua kweli Chrispin ndio baba M....haaa uvumilie nini hapo, kama angejua mapema hayo matabia mbona hayavumiliki jamani.
sasa unafikiri watasuluhisha vipi jamani? lakini hata ikiwa kawekewa still emotional wounds zipo pale pale, siyo kwamba huyo dada kachukua uamuzi wa hasira kama watu wanavyosema, ni maumivu makali sana ya mapenzi aliyoyapata pasipo kutegemea.unajua kuna wale binadamu wakihic kama wanadanganywa bac roho ndio inamuuma zaidi ya kuambiwa ukweli halic, yeye anataka mwanaume aseme ukweli na ikiwezekana warudi huko hotelin kuhakiki...mana hakusafiri nje ya hapo TZ.
Hakuweza angalia kila kitu kwenye bag maana alikuwa ana muwahi mkewe! Nadhani ningekuwa mimi ni huyu mkaka ningegeuza kibao kwamba huyo mkewe ndiye kamuwekea ningekomaa naye na kumwomba hii kesi iende kwa mkemia mkuu wa serikali (RIP Mashimba) kuangalia vinasaba kwenye hiyo chupi
sasa unafikiri watasuluhisha vipi jamani? lakini hata ikiwa kawekewa still emotional wounds zipo pale pale, siyo kwamba huyo dada kachukua uamuzi wa hasira kama watu wanavyosema, ni maumivu makali sana ya mapenzi aliyoyapata pasipo kutegemea.
jamani jamani....sasa mkewe amuwekee ili iweje? yeye anatakiwa atoe maelezo hivyo vikorombwezo vimetokea wapi, na aseme ukweli wake amabo mke ndio anaoutaka.
Eti nini?Hii kali, kwani, huyo mume akubali tu ukweli mambo yaishe,na ninajua ukweli anaujua sema kukubali ni noma, na hata hivyo kuondoka kwa mume sidhani kama ni solution, that dada inabidi amuite mume na watu ambao anaona wanabusara kuyamaliza hayo.