Nipigie Senior Member Joined Nov 2, 2010 Posts 121 Reaction score 7 Nov 20, 2010 #1 Attachments 148177_10150328303255105_575645104_15548044_5697287_n.jpg 103.9 KB · Views: 157
mmiy Member Joined Oct 2, 2010 Posts 27 Reaction score 0 Nov 20, 2010 #2 Huo mchezo ikifika halftime itakuwaje maana timu si huwa zinabadilishana upande.
Buswelu JF-Expert Member Joined Aug 16, 2007 Posts 1,998 Reaction score 359 Nov 20, 2010 #3 mmiy said: Huo mchezo ikifika halftime itakuwaje maana timu si huwa zinabadilishana upande. Click to expand... Ha ha ha ha haa.....sheria ni tofauti na.....za mpira wa kisasa.
mmiy said: Huo mchezo ikifika halftime itakuwaje maana timu si huwa zinabadilishana upande. Click to expand... Ha ha ha ha haa.....sheria ni tofauti na.....za mpira wa kisasa.
Abdulhalim Platinum Member Joined Jul 20, 2007 Posts 17,216 Reaction score 3,126 Nov 20, 2010 #4 Sijamuona Sefu na Lipumba kule kwene timu ya CCM..teh teh teh.
Nipigie Senior Member Joined Nov 2, 2010 Posts 121 Reaction score 7 Nov 20, 2010 Thread starter #5 mmiy said: Huo mchezo ikifika halftime itakuwaje maana timu si huwa zinabadilishana upande. Click to expand... . hahahaha , Hakuna half time, miaka mitano full.
mmiy said: Huo mchezo ikifika halftime itakuwaje maana timu si huwa zinabadilishana upande. Click to expand... . hahahaha , Hakuna half time, miaka mitano full.
Lukolo JF-Expert Member Joined Dec 2, 2009 Posts 5,143 Reaction score 3,212 Nov 20, 2010 #6 Mmmh, Mrema kaingiaje kwenye timu ya CHADEMA? Nadhani mpangaji wa timu kaharibu kabisa. Maana hapo Mrema atauza timu tu.
Mmmh, Mrema kaingiaje kwenye timu ya CHADEMA? Nadhani mpangaji wa timu kaharibu kabisa. Maana hapo Mrema atauza timu tu.
Katavi Platinum Member Joined Aug 31, 2009 Posts 42,099 Reaction score 12,932 Nov 20, 2010 #7 Lukolo said: Mmmh, Mrema kaingiaje kwenye timu ya CHADEMA? Nadhani mpangaji wa timu kaharibu kabisa. Maana hapo Mrema atauza timu tu. Click to expand... Ahahahaaaaaaah kweli atauza timu huyo!
Lukolo said: Mmmh, Mrema kaingiaje kwenye timu ya CHADEMA? Nadhani mpangaji wa timu kaharibu kabisa. Maana hapo Mrema atauza timu tu. Click to expand... Ahahahaaaaaaah kweli atauza timu huyo!
Supa.engineer Member Joined Nov 20, 2010 Posts 47 Reaction score 2 Nov 21, 2010 #8 Katavi said: Ahahahaaaaaaah kweli atauza timu huyo! Click to expand... . haaa, wamemweka kikosi cha kwanza kumjaribu, akiboronga ni bench hadi mwisho.
Katavi said: Ahahahaaaaaaah kweli atauza timu huyo! Click to expand... . haaa, wamemweka kikosi cha kwanza kumjaribu, akiboronga ni bench hadi mwisho.