Halotel MIFI

nyumbani kwenu

Senior Member
Joined
Aug 11, 2020
Posts
159
Reaction score
171
Habarini wana Jf, anaemiliki hiki kifaa cha halotel MIFI, ambayo wamekitangaza hivi karibuni, atusaidie kutoa mrejesho, speed yake ya internet ikoje, kifaa kinakaa na chaji kwa muda gan, na iyo ofa wanayokupa ya unlimited internet ya 10mbps mwanzon wa kununua kifaa ni kwel?
 

Attachments

  • IMG_4436.jpeg
    116.1 KB · Views: 6
I mean vifaa vidogo kimwonekano na kuweza kubebeka mfukoni

hicho unaweka mfukon mkuu, ni kidogo sio kikubwa, kuna vidogo zaidi ya hapo ila nadhan havina line za unlimited
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…