........Annina pole shost, jamani aunt huyu mhhhhhhhhhhh!!
Je huyo aunt yako kiumri mnaringana? Au yeye mtu mzima kuzidi wewe?
Kama sehemu unayoishi sasa hivi mpo pamoja na mchumba wako tafadhali usikubali kumkaribisha hapo atakunyanganya tonge mdomoni huyo aunt.
amlete kwangu annina atakaa bila taabu mpaka amalize shughuli yakeAchana naye huyo shangazi yako. Mwambie unaishi na rafiki yako so utamtafutia pa kukaa kwa mda huo. Then mtafutie chumba kwa mwanaume ambaye ni single akakae huko...nyege zikimzidia watamalizana wenyewe. Na kwako usimuonyeshe hata kidogo. Mpige kiswahili mpaka mda wake utakapoisha wakukaa hapo...yn hata kama utaweza kutunga safari za hp na pale poa tuu. Mijitu mingine haina mishipa ya aibu ilishaga katikia tumboni mwa mama zao.
Achana naye huyo shangazi yako. Mwambie unaishi na rafiki yako so utamtafutia pa kukaa kwa mda huo. Then mtafutie chumba kwa mwanaume ambaye ni single akakae huko...nyege zikimzidia watamalizana wenyewe. Na kwako usimuonyeshe hata kidogo. Mpige kiswahili mpaka mda wake utakapoisha wakukaa hapo...yn hata kama utaweza kutunga safari za hp na pale poa tuu. Mijitu mingine haina mishipa ya aibu ilishaga katikia tumboni mwa mama zao.
Asante Dada penny ,Hivi ndivyo ninavyokupendea Humwachi Mtu na Kinyesi (Mav)[/QUOTE]
Jamani dear, haya tena ndo wamaanisha nini tena hapa ndugu yangu? wengine kiswahili kilitupitia visogoni kidogo, ni dadavulie please na mimi nipate kuelewa.
Mijitu mingine jama haina second chance...yn ukiteleza tuu tayari inakula kwako tena maana anakuona kama **** fulani. Bora alisha mjuaga tabia yake so sioni sababu ya yeye kutumia tuu oblongata yake vizuri akamueka kwapani na kumfungia huko. Prevention is better than cure!. Ama?Unaambiwa kwamba kutenda kosa sio kosa ila kurudia kosa ni kosa,Mpe chance nyingine
Asante sana Penny, ni kweli kinga ni bora kuliko tiba, ingekuwa mimi wala nisingethubutu kumuomba nikakae kwake baada ya tukio lile, ndio maana najiuliza ni kweli amesahau na kujirekebisha au ananijaribu?
Annina
Pole sana Annina..Pole kwa kuumizwa hivyo, imenigusa sana moyoni rafiki yangu.
Nadhani jambo la msingi, kama ulimsamehe kikweli, mkaribishe nyumbani, lakini umwambie b/f wako asije nyumbani muda wote huo, maana anaweza kumnyakua huyo!
Bora muwe mnakutania kwa b/f wako kuliko hapo kwako.Lakini katika kukaa nae usikumbushe yaliyopita, we kaa kimya kama kobe anaetunga sheria, na akianzisha maneno hayo we nyamaza tu!
Miezi 9 si mingi, atamaliza na kuchapa zake mwendo, na atakuachia amani yako.
Lakini pia kama ana akili, kweli anaweza kurudia kosa ZITO NAMNA HIYO?
All in all, you forgave, then forget!