Hatutizami haki ya mmoja kama haki pale ambapo inathulumu haki za wengi. Tunajaribu kuangalia haki ya uhifadhi wa uhai katika kike na kiume ni nini? Kwa hakika ni mwendelezo wa uhai. Je jinsia moja zinaweza hifadhi mwendelezo wa uzao? Hapana!! Sasa hiki ni kichaka yanayotaka kujifichia majini ya ngono hivyo kinapaswa kichomwe moto. Hiyo ndio stahiki yake. Kama mwanaume anadai kuwa na homon za kike je hilo dume basha nalo lina uadilifu gani?
Ndugu mtoa mada, your user ID and date of registration says it all. Mtu una jiita Bwabwa?
Tayyib, I could n't agree further.
Kuna point hapa inafichwa. Kuwa gay na kuwa active gay ni vitu viwili tofauti. Kuwa gay sio kosa, na kuwa active gay ndio kansa ya jamii au dunia kwa sasa, baada ya ile ya ugaidi na kufuata dini zinachochea kujiua na mauaji.
Umejawa na chuki na upeo mdogo sana kuhusu dini nyingine, hata kama mada si yadini lazima uingize udini wako!!!! na wala hujui lolote kuhusu dini zaidi ya chuki.
Hivi wale wachungaji wanao promote u-gay kule kanisani wanaeneza dini au kansa makanisani? na wewe utabaki huko kuwa gay au kupata kansa? bora tafuta dini isiyiyo promote hizo cancer za ugei.
Ukishaona mtu anawaunganisha "homosexuals, pedophiles, and sado-masochists" kwenye kundi moja, ujue hana point kabisa. Wapeni haki yao bwana, kwani wanachofanya wao nyie inawahusu nini?
Hii point ya kuendeleza uzazi ni bulshit, homosexuality sio ugonjwa wa kuambukiza, sio kwamba kuna siku tutaamka wote homosexuals, homosexuals watakuwepo na heterosexuals wa kuendeleza kizazi watakuwepo. Live and let live!
..........Mashoga hawana haki yoyote, hata kama mtaipata hiyo haki itakuwa ya makaratasi tu hapa duniani.
Lakini kamwe hamtakuwa na haki mbele ya Mungu na jamii vile vile itawashangaa milele. Uliumbwa ili uwe mwanaume halafu leo unageuzwa eti unataka haki, haki gani unayoitaka wewe shoga? Huna haya wala huoni vibaya mwanaume wewe!! Hata kama huonekani inabidi uwe na hofu ya Mungu wewe.
Kwani nani amewanyima hiyo haki wanayoipigania?Kama wao ni masoga hizi kelele ni za nini sasa? Mbona hakuna mtu aliyewaulizia?Ukishaona mtu anawaunganisha "homosexuals, pedophiles, and sado-masochists" kwenye kundi moja, ujue hana point kabisa. Wapeni haki yao bwana, kwani wanachofanya wao nyie inawahusu nini?
Hii point ya kuendeleza uzazi ni bulshit, homosexuality sio ugonjwa wa kuambukiza, sio kwamba kuna siku tutaamka wote homosexuals, homosexuals watakuwepo na heterosexuals wa kuendeleza kizazi watakuwepo. Live and let live!
Wewe bwana ulitakiwa uje uulize km kuna namna ya kukusaidia uachane na ushoga.Najua wengi mtakuwa na mtazamo hasi juu ya hii habari,kabla sijaanza kueleza juu ya haki za mashoga, ningependa ujue kwa nini mtu anakuwa shoga? Kila mtu atakuwa anajua, unapozaliwa una kuwa na hormons za kike na kiume,unaweza ukazaliwa mwanamme lakini ukawa na hormons za kike nyingi kuliko za kiume, hapo ndipo unapokuwa shoga, na kwa mwanamke ni vice versa. Sasa mtu ana kosa gani kuwa shoga?? Hayo ni maumbile.Afrika tuko nyuma kwa mambo mengi sana,Uganda wametangaza Mashoga wakikamatwa watafungwa jela maisha, majuzi tu Malawi walijitokeza mashoga hadharani, wakakamatwa na kesekwa lupango, Tanzani na Afrika nzima, mashoga wamekuwa wakinyanyaswa na kunyimwa haki zao za msingi.Ningependa mtoe mchango wenu wa mawazo nini kifanyike ili haki iweko juu ya mashoga.
President Clinton promised homosexual and lesbian groups support for a national gay rights law which would make homosexuality a constitutionally protected civil right. Such a law could give homosexuals, pedophiles, and sado-masochists the same preferred standing at law that is now enjoyed by blacks, Hispanics, women, and the physically handicapped. They want to give a man who marries another man the same rights as a husband and wife and make it illegal for churches and other religious groups to "discriminate" against homosexuals in their hiring practices.
Liberals and homosexual groups have been pushing through Congress so-called "Hate Crimes" legislation that expands the current definition of hate crimes to include offenses based on sexual orientation, gender and disability.
The influential homosexual newspaper, the Washington Blade, reported that Clinton's first priority was to pass laws that will protect homosexuals from hiring practices. The Lesbian and Gay Advocacy Project to Reelect Bill Clinton and Al Gore said, "He is the first President to be personally and publicly committed to the principles of equality and acceptance for gays and lesbians. He has done so many things to make our lives better, safer, and more secure."