Mr.creative
JF-Expert Member
- Aug 8, 2011
- 492
- 117
Ninachojua watu watakuja kukueleza maana ya hacking tu, lakini sitegemei waje kukueleza how to hack, unless wakueleza algorithms za kuhack, sababu how to hack it depend on what are going to hack, na aina za kuhack zipo nyingi kulingana na kitu unachokifanyia hacking eidha kama kipo locally au remote. Hapa mi sijakueleza maana ya kuhack wala how to hack, haya ni mawazo yangu ila kama nipo wrong wadau watakuja kunisahihisha na kueleza zaidiHello JF wataalamu!
Naomba kuelezewa kadri unavyofahamu kuhusu HACKING kwakuzingatia moja ya guidelines hizi hapa chini
-Maana
-How to hack
naomba kuwasilisha
Hello JF wataalamu!
Naomba kuelezewa kadri unavyofahamu kuhusu HACKING kwakuzingatia moja ya guidelines hizi hapa chini
-Maana
-How to hack
naomba kuwasilisha