kilimasera
JF-Expert Member
- Dec 2, 2009
- 3,068
- 277
Hata Kihaya Wabonaki siyo habari za subuhi. Sahihi ni olailota au Waitu olailotaige kwa kihaya cha Kiziba. Wabonaki ni kama umeshindaje au habari za saa hizi.Umejitahidi kuchapia ila cha kukumbuka ni kwamba sio kila salamu ya kikabila (kilugha) ni habari ya asubuhi. Mfano sio kweli kwamba Subhai (wewe umeandika sopai) kama habari ya asubuhi kwa kimasai hii sio kweli, subhai ni kama kusema habari yako.
Umejitahidi kuchapia ila cha kukumbuka ni kwamba sio kila salamu ya kikabila (kilugha) ni habari ya asubuhi. Mfano sio kweli kwamba Subhai (wewe umeandika sopai) kama habari ya asubuhi kwa kimasai hii sio kweli, subhai ni kama kusema habari yako.
KIUNGUJA: wambaje = Habari za asubuhi
KIZIGUA: Kugona vihi = Habari za asubuhi KINYAKYUSA: Ughonile = Habari za asubuhi KIYAO: kwimukaga = Habari za asubuhi KIPARE: Murevuka = Habari za asubuhi KIUNGUJA: wambaje = Habari za asubuhi KISAMBAA: Onga makeo = Habari za asubuhi KIANGAZA: Mwalamtse = Habari za asubuhi KINYAMWEZI: Mwangaluka = Habari za asubuhi KICHAGA: Shimbonyi = Habari za asubuhi KIMERU: Konumbware = Habari za asubuhi KIMASAI: Sopai = Habari za asubuhi KISUKUMA: Mwadila = Habari za asubuhi KIHEHE: Kamwene = Habari za asubuhi KIBENA: Kamwene = Habari za asubuhi KIKINGA: Ulamwihe = Habari za asubuhi KINYIRAMBA: Ulalaliani = Habari za asubuhi KIHAYA: Wabonaki = Habari za asubuhi
Molamdse= Kinyarwanda
sasa kama kila alichoandika kachapia do we still need this post here????
Za keo- kibondei