tangu lini Mengi ni fundi wa mabarabara, analipa kodi zote kwa mujibu wa sheria, bado unashauri ajenge barabara ya kwenda kwenye ofisi yake...nini kazi ya serikali ya mkoa kupitia halmashauri za jiji.
KAMA HUNA CHA KUPOST ZIMA COMPUTER YAKO
Hivi mzee Mengi ameshindwa kabisa kujali barabara inayokwenda kwenye ofisi kuu za media stream yake? Yaani unakwenda kutembelea kwenye zile ofisi unakumbana na vumbi tu barabarani. Hiyo parking ya wageni wake ndio imenichosha kabisa.
Kwa "elite member" wa jamii yetu kama yeye (ambaye anajihusisha kwa karibu na shughuli za mazingira na kadhalika) ungedhani kuwa angeweka mfano madhubuti kwenye maeneo ya biashara zake.
Nadhani na wewe una ajenda yako. Ulitaka Mengi awafanyie kazi jiji wao waendelee kuponda raha wanakusanya kodi na kutafuna bata. Yeye alipe kodi, alafu ajenge barabara kwa kumfurahisha nani??
Wewe umejenga chochote wapi???
Ok naona watu mmekazania hilo la barabara pekee kwa sababu angalau serikali inaweza kutupiwa mpira wa lawama kirahisi.
Vipi kuhusu hili la parking ya ofisi zake. Mbona mnajifanya hamlioni? Au na hili Serikali inahusika?
Mimi sijajenga popote pale kwa sababu sina uwezo wa kufanya hivyo. Pia, mimi sina uwezo wa kuwa na ofisi zangu. Isitoshe mimi sina hadhi ya kama mzee wetu ambaye anaonekana kwenye vyombo vya habari kila siku ikisimekana anajishughulisha na mambo mbalimbali ya kijamii, ikiwa pamoja na mazingira.
bado kutuambia kuwa mengi ajapaka nyumba yake rangi
parking ya ippmedia sio ishu ya kisiasa....
swali la barabara unglipeleka halmashauri ya jiji
Ofisi si zake bana...sasa kama hataki kuziweka kama unavyotaka wewe tatizo lako nini? Kitu chake lakini bado unataka ku impose mambo kwa jinsi uyaonavyo wewe kuwa ndo sawa
Sasa na wewe mbona unaanguka kwenye msemo wako maarufu (Miafrika Ndivyo Tulivyo). Yaani huoni kabisa (kwa hadhi yake na jinsi alivyokuwa mtari wa mbele kwenye shughuli za kijamii) mazingira ya ofisi zake yanavyomsuta?
Jamani yule ni role model kwa watu wengi tu (mimi mmoja wao). Kwa hiyo kila anachojihusisha kwenye jamii kinatugusa kwa namna moja au nyingine. Isitoshe, tunaainisha mazingira yanayomzunguka na na kile anachofanya kwenye jamii. Ndio maana ya kuwa "mfano" wa kuigwa huko...au?
Nakubaliana na mzee mtoa hoja kwamba kuna tatizo! Vile vibanda vya mama ntilie vichafu na vibaya bado viko kwenye ile barabara.
Kwa m2 wa Mazingira kama mzee Mengi.... ile barabaa inayoelekea kwake inatia kichefu chefu.
Quemu umechokoza moto kwa taarifa yako fedha hizo badala ya kutengeneza parking zinafanya kazi hii ya kulipa vikaragosi vya kumtetea na kumtukuza utatupiwa matusi bure kama mzee kingunge alivyotukanwa na kilainitangu lini Mengi ni fundi wa mabarabara, analipa kodi zote kwa mujibu wa sheria, bado unashauri ajenge barabara ya kwenda kwenye ofisi yake...nini kazi ya serikali ya mkoa kupitia halmashauri za jiji.
KAMA HUNA CHA KUPOST ZIMA COMPUTER YAKO
Wakulaumiwa ni Mzee Mengi au Manispaa..na unawezaje kulinganisha TBC na IPP media...je vipi tukilinganisha choo chako na cha ikulu...Salaevo alijitolea kujenga barabara ya kwenda kwenye Min supermarket yake kama nusu km akaweka na kidaraja...TRA walihamia kwake wanataka kodi...Hivi mzee Mengi ameshindwa kabisa kujali barabara inayokwenda kwenye ofisi kuu za media stream yake? Yaani unakwenda kutembelea kwenye zile ofisi unakumbana na vumbi tu barabarani. Hiyo parking ya wageni wake ndio imenichosha kabisa.
Kwa "elite member" wa jamii yetu kama yeye (ambaye anajihusisha kwa karibu na shughuli za mazingira na kadhalika) ungedhani kuwa angeweka mfano madhubuti kwenye maeneo ya biashara zake.
Ukweli acha ubaki kuwa ukweli...Dah naona payroll bado inafanya kazi kweli kweli ukimgusa huyu mzee dah teh teh teh ...
ni ujinga kufikiri kuwa wajibu wa Mengi ni kujenga mabarabara, au miundo mbinu, anaweza kuchangia akitaka......''tangu lini Mengi ni fundi wa mabarabara, analipa kodi zote kwa mujibu wa sheria, bado unashauri ajenge barabara ya kwenda kwenye ofisi yake...nini kazi ya serikali ya mkoa kupitia halmashauri za jiji.
KAMA HUNA CHA KUPOST ZIMA COMPUTER YAKO''
Acha upuuzi mwenzako anapoandika jambo la msingi unamwambia azime kompyuta?Kama hujawahi kufika ITV/RADIO one ukaona parking ilivyo kaa kimya usilete ukenge hapa.
Quemu umechokoza moto kwa taarifa yako fedha hizo badala ya kutengeneza parking zinafanya kazi hii ya kulipa vikaragosi vya kumtetea na kumtukuza utatupiwa matusi bure kama mzee kingunge alivyotukanwa na kilaini
Ok naona watu mmekazania hilo la barabara pekee kwa sababu angalau serikali inaweza kutupiwa mpira wa lawama kirahisi.
Vipi kuhusu hili la parking ya ofisi zake. Mbona mnajifanya hamlioni? Au na hili Serikali inahusika?
Mimi sijajenga popote pale kwa sababu sina uwezo wa kufanya hivyo. Pia, mimi sina uwezo wa kuwa na ofisi zangu. Isitoshe mimi sina hadhi ya kama mzee wetu ambaye anaonekana kwenye vyombo vya habari kila siku ikisimekana anajishughulisha na mambo mbalimbali ya kijamii, ikiwa pamoja na mazingira.