GRK ADVOCATES |
Jamani samahani hivi sheria za mawakili zinaruhusu hii professional kujitangaza kwa staili hii? Naombeni ufafanuzi....
Hivi kuna ubaya wowote kutangaza huduma unazotoa?
Jamani samahani hivi sheria za mawakili zinaruhusu hii professional kujitangaza kwa staili hii? Naombeni ufafanuzi....
Hakuna ubaya mkuu ila Sheria zetu za TLS haziruhusu hii kitu, yaani wameenda so low!Hakuna ubaya na sioni tatizo
Sasa kama law firm isipojitangaza watu watajuaje kama ipo ama hata contacts zake? Mbona hizo sheria ni zaHakuna ubaya mkuu ila Sheria zetu za TLS haziruhusu hii kitu, yaani wameenda so low!