yaani mkuu huku segerea ni vilio tu, maadam wangejua ni jinsi gani wanavyo watia watu loss yaani acha tu, saloon, mabucha, internet cafe, stationeries,maduka mbali mbali yaani kila kona uzalishaji ulisimama na hawa watu wanatakiwa kurejesha mikopo ya biashara walizokopa. taabu tupu
Tunahitaji kujifunza ujasiri wa waarabu!!!Hivi wale Waarabu wanakuaje na ujasiri kuliko sisi Waafrika?
Hao waliochukua mikopo wakishindwa kulipa kutokana na uzembe wa serikali ndio watapata nguvu ya kuingia mtaani!!yaani mkuu huku segerea ni vilio tu, maadam wangejua ni jinsi gani wanavyo watia watu loss yaani acha tu, saloon, mabucha, internet cafe, stationeries,maduka mbali mbali yaani kila kona uzalishaji ulisimama na hawa watu wanatakiwa kurejesha mikopo ya biashara walizokopa. taabu tupu
Hivi wale Waarabu wanakuaje na ujasiri kuliko sisi Waafrika?
Wale wana ujasiri muda mrefu sisi uoga umetujaa kama kunguru..Hivi wale Waarabu wanakuaje na ujasiri kuliko sisi Waafrika?
Hivi wale Waarabu wanakuaje na ujasiri kuliko sisi Waafrika?
Hivi wale Waarabu wanakuaje na ujasiri kuliko sisi Waafrika?