Blasio Kachuchu JF-Expert Member Joined Sep 7, 2016 Posts 739 Reaction score 446 Nov 16, 2026 #1 Hii ndio Zaidi, kaa mkao wa kula. Wiki ijayo Vodacom wana jambo kubwa, haachwi mtu hapa. Your browser is not able to display this video.
Hii ndio Zaidi, kaa mkao wa kula. Wiki ijayo Vodacom wana jambo kubwa, haachwi mtu hapa. Your browser is not able to display this video.
Donnie Charlie JF-Expert Member Joined Sep 16, 2009 Posts 19,051 Reaction score 22,616 Nov 16, 2026 #2 Hujaeleweka na video haieleweki.
Bujibuji Simba Nyamaume Platinum Member Joined Feb 4, 2009 Posts 79,275 Reaction score 169,210 Nov 16, 2026 #3 Blasio Kachuchu said: Hii ndio Zaidi, kaa mkao wa kula. Wiki ijayo Vodacom wana jambo kubwa, haachwi mtu hapa. View attachment 3711031 Click to expand... Kama taarifa haijaletwa JamiiForums kupitia account ya Vodacom Tanzania ilithibitishwa, kuna viashiria vya kiutapeli na tukio la uhalifu wa kimtandaoni
Blasio Kachuchu said: Hii ndio Zaidi, kaa mkao wa kula. Wiki ijayo Vodacom wana jambo kubwa, haachwi mtu hapa. View attachment 3711031 Click to expand... Kama taarifa haijaletwa JamiiForums kupitia account ya Vodacom Tanzania ilithibitishwa, kuna viashiria vya kiutapeli na tukio la uhalifu wa kimtandaoni
Bujibuji Simba Nyamaume Platinum Member Joined Feb 4, 2009 Posts 79,275 Reaction score 169,210 Nov 16, 2026 #4 Donnie Charlie said: Hujaeleweka na video haieleweki. Click to expand... Jihadhari na matapeli. Vodacom Tanzania wana verified account yao hapa jukwaani
Donnie Charlie said: Hujaeleweka na video haieleweki. Click to expand... Jihadhari na matapeli. Vodacom Tanzania wana verified account yao hapa jukwaani
Mad Max JF-Expert Member Joined Oct 21, 2010 Posts 35,954 Reaction score 105,607 Nov 16, 2026 #5 Mikelele ya ivyo watu wapo EV sahivi.