MwanajamiiOne
Platinum Member
- Jul 24, 2008
- 10,470
- 6,596
Kwa kelu hii tabia huwa inakeraga sana tena sana. Kwa upande wangu na mimi ntaanza kuiga tabia yake ili nione reaction yake. Asiposema kitu khs hilo ujue hiyo ni tabia ambayo anaikubali kwa hiyo na wewe peta mama acha kujipa presha kama utaafiki hiyo tabia kama vipi hupendi huo mwenendo donΒ΄t waist time kwenye kitu ambacho hakibadiliki, na akionyesha kutokufurahi mwambie na wewe ndivyo usivyofurahishwa na tabia yake sasa hapa mtu ni akili kumkwicha. Nadhani hapa jamii inaweza kunielewa vibaya lakini huo ndio ukweli halisi, maana ukiangalia sisi sote ni binadamu, wenye moyo mmoja mmoja kwa nini umtreat mwenzio kama vile anamiyoyo saba ya paka! kha, ooh paliz give me a break on this. Kama yanakusibu haya dada pole sana.
Girls!...kuna wanaume wanaume wengine wanapenda kuwa chessed na mwanamke....na kama umemwambia mara moja na anarudia over and over then kaa ukijua hiyo ndiyo tabia yake na hatabadilika....kama mna date tuu then i think weka mguu ndani mguu nje.....angalia uasawa wako...maana hatabadilika na atakusumbua sana pale utakapo amua kuwa naye for better and for worse alafu utakuja kujilaumu baadaye.......sioni sababu ya kuwa na mtu ambaye anakuumiza kichwa na haina sababu ya kuanza kushindana naye....kama anakupenda then he will respect you and never do it again.....
huu siyo wakati wa kubembeleza mtu,,,,chukua chako mapema.....
Kelly I like your motto, but this is happening ndani ya ndoa tayari kwa mtu ambaye mmeshaoana then anakufanyia hivi, mimi huwa ninamtafsiri vibaya sana shemeji yangu (am sorry to say this but anakera sometimes). Picha inayonijia kichwani ni kuwa yeye anamdharau sana dada kwa sababu angekuwa anamrespect kama mke hasingekuwa anarudia makosa ! Na mara nyingi dada huwa anamruhusu kuwa huru ila tu aseme amepitia wapi na atarudi muda gani. Tatizo shemeji haonekani kuwa makini kwani akipata chance tu basi hafanyi makosa kama ni kurudi ataweza hata kurudi asubuihi asipostuliwa (sijui hata hao anaokuwa naye wanamfikiriaje - kama si vidosho lakini)
Mmmhh Kelly, msamehe NN, hatarudia tena!!.......sioni sababu ya kuwa na mtu ambaye anakuumiza kichwa na haina sababu ya kuanza kushindana naye....
...huu siyo wakati wa kubembeleza mtu,,,,chukua chako mapema.....
Mmmhh Kelly, msamehe NN, hatarudia tena!!
Umeongea kweli dada, asante sana.MJ..hiyo tabia yake imeanz akubadilika lini?...that is aproblem with me pnce wakishaona kuwa wamepewa uhuru wa kufanya kitu basi they tned to abuse ile freedom......na siwezi amini kama ni kweli huko anapokuwa hadi asubuhi anakuwa na washikaji lazima itakuwa kidosho....trust me!....inabidi dada ajaribu kufuatiliya nyenendo za shemeji ikiwezekana ww ndiyo umasaidie sasa kuangalia hizo nyenendo za shemeji kama ni kweli....ana kuwa muda wote na washikaji tuu au kuna wakati anamalizia haja zake kwa vidosho.....
Mj darling nitafute kwa PM nikupe darasa kwa dada trust me shemeji hatatoka nje tena na atakuwa anarudi home mapema sana.......
MJ..hiyo tabia yake imeanz akubadilika lini?...that is aproblem with me pnce wakishaona kuwa wamepewa uhuru wa kufanya kitu basi they tned to abuse ile freedom......na siwezi amini kama ni kweli huko anapokuwa hadi asubuhi anakuwa na washikaji lazima itakuwa kidosho....trust me!....inabidi dada ajaribu kufuatiliya nyenendo za shemeji ikiwezekana ww ndiyo umasaidie sasa kuangalia hizo nyenendo za shemeji kama ni kweli....ana kuwa muda wote na washikaji tuu au kuna wakati anamalizia haja zake kwa vidosho.....
Mj darling nitafute kwa PM nikupe darasa kwa dada trust me shemeji hatatoka nje tena na atakuwa anarudi home mapema sana.......
Mengine ni ya kitchen party baba, sasa akiweka hapa ataaribu mambo! Wewe mfate huko huko chumbani.Kelly can you just put the 'darasa' here ili na wengine wafaidike...i.e kama halihusu namba za simu nk...
Mengine ni ya kitchen party baba, sasa akiweka hapa ataaribu mambo! Wewe mfate huko huko chumbani.
Nipo mke mwenza...,Ndiyo maana nakupenda mke mwenza/schoolmate!......tumetoka mbali eeh!...toka kwa mother Fi hadi JF hadi mke mwenza....
Umehadimika sana!......
Nipo mke mwenza...,
Mwee yalionisibu kupelekea mpaka kupotea humu ndani ndo kama nilivyokueleza kule chumbani.
Mengine ni ya kitchen party baba, sasa akiweka hapa ataaribu mambo! Wewe mfate huko huko chumbani.
sasa Penny mbona unani'sakizia'..chumbani tena na mi mwanaume, si ndo atantukana kabisa, kama ni pati ya jikoni mimi walaaa...nitamtafuta Mwanajamii atanin'gata sikio tu...
Au Kelly ar u willing?π
hahahaha! uwiii yeah kama una issue na demu wako wee njoo chumbani nitakupa darasa lako.....
hahahah...poa nitakuja..siku hizi haniulizi tena mbona 'sijamletea zawadi'...so nahisi kuna kitu...π (ila mwambie NN asijibu on ya behalf,, okeeey?)