Oxlade-Chamberlain
JF-Expert Member
- May 26, 2009
- 8,635
- 2,211
Naona Bafana wamechemsha.
naona torres anaua.
nomaa, wanaweza kushinda 10 hapa.Kafunga bao tatu in a space of 17 minutes!!!!!
nomaa, wanaweza kushinda 10 hapa.
Kafunga bao tatu in a space of 17 minutes!!!!!
mie namlaumu kocha wa south africakwa kumueka bench steve pienaar na sijui kwanini kaja kumuingiza dakika 6 za mwisho.na kama ana fatigue si angempa hata dakika 30 za mwisho? hile ndio chance waliokuwa nayo na game ya new zealand.