Magulumangu
JF-Expert Member
- Jan 7, 2010
- 3,051
- 462
mmmh.....hapo ninahisi huyo ex ni mkali zaidi....wanawake tuko hivyo...ukiona mwenzio kakufunika amani hutoweka....mpe muda atasahau ila kwa sasa onyesha mapenzi ya dhati ili uweze kuziba jeraha lililopo moyoni....huwa inauma kimtindo but itaisha
ONYO: usifanye mazoea na huyo ex....
Naona hata hapa ndani amani inaisha jamani, mie nampenda sana mke wangu hata yeye anajua hilo, sina mazoea kukutana na wanawake na kama nakutana am with her always, hata nikikutana na rafiki zangu most of times she knows, i explained to her about this ex before she saw her, now is different situation and worse, jamani mapenzi kikohozi jamani.....Huyo ex she kinda player, she mix men like Dj mixing musics....she dates married most than unmarried and she knows this....
Leo amelia sana mke wangu mpaka nikamhurumia na sijui ni kwa nini, nimemtoa out lkn haikuwork, dada ake akimuuliza tatizo nini hasemi chochote...
sasa hapo kinachomliza ni nini aseeNaona hata hapa ndani amani inaisha jamani, mie nampenda sana mke wangu hata yeye anajua hilo, sina mazoea kukutana na wanawake na kama nakutana am with her always, hata nikikutana na rafiki zangu most of times she knows, i explained to her about this ex before she saw her, now is different situation and worse, jamani mapenzi kikohozi jamani.....Huyo ex she kinda player, she mix men like Dj mixing musics....she dates married most than unmarried and she knows this....
Leo amelia sana mke wangu mpaka nikamhurumia na sijui ni kwa nini, nimemtoa out lkn haikuwork, dada ake akimuuliza tatizo nini hasemi chochote...
Kama Ex analipa sana mamaa lazima apate presha kidogo!!Hata ukimwambia huyo Exie alikua na tabia mbaya hawezi kuamini maana anadhani unajaribu tu kumtuliza!Unachotakiwa kufanya nikumweleza kwanini uko na yeye na sio kwanini hauko na Exie.....Mbembeleze kwa maneno matamu na sifa kibao kwa vyote unavyovipenda kwake hata vile vinavyoonekana havina maana sana!!
sasa hapo kinachomliza ni nini asee
Uhawala hauwezi kuisha!
As long as hauna mawasiliano na huyo X ndoa yako itasimama imara, BUT, ukanzisha mawasiliano naye NDOA yako will be in trouble Therefore it all depends on you!
Kitu cha Msingi ni wewe mwenyewe kujijua unataka nini in ur life....na mkeo anataka nini......ukishayajua haya then utakaa kwa amani na mkeo. Cha msingi usifanye chochote ambacho ni abit suspicious ( mf. Simu kuishiwa Charge ukawa Unreachable anaweza hisi unafanya dhambi na ex wako) ...koz mkeo anaweza asikuambie kuwa kuna kitu kahisi then nse akaanza kufanya kwa siri n trust me man kuna watu wanammendea mkeo daily so ur mistake/s intentionally or unintentionally jamaa watammega huku akijipa moyo mbona nawe unamega.....wakati wala ndg yangu upo faithful kwa sana kwake...........Try to spend most of ur free time with her...keep doin what she want and stop doing what she doesn't want.......
Naona hata hapa ndani amani inaisha jamani, mie nampenda sana mke wangu hata yeye anajua hilo, sina mazoea kukutana na wanawake na kama nakutana am with her always, hata nikikutana na rafiki zangu most of times she knows, i explained to her about this ex before she saw her, now is different situation and worse, jamani mapenzi kikohozi jamani.....Huyo ex she kinda player, she mix men like Dj mixing musics....she dates married most than unmarried and she knows this....
Leo amelia sana mke wangu mpaka nikamhurumia na sijui ni kwa nini, nimemtoa out lkn haikuwork, dada ake akimuuliza tatizo nini hasemi chochote...
hata ningekuwa mie ni huyo mkeo,ningekaa hivyo hivyo kimachale machale...LOL
labda wakati unasalimiana na EX wako,alionyesha bado intrest.bado anataka kuwa na wewe au akipata nafasi atakuwa na wewe..hii imemfanya mkeo kuingiwa na hofu...
tumia muda wako mwingi kuwa na mkeo,usifanye jambo lolote suspicious...wala usionyeshe unajua lolote kuhusu EX wako,msifie kwa mambo anayoyafanya eg uvaaji maanake inaelekea mkeo hajiamini na appearance...msifie apate assurance!
gradually ataanza kukutrust tena..
m
Mkuu ndo hapo naomba ushauri kama kuna mwanaJF yamemtokea haya anipe ushauri.....Sisemi kama raisi wetu kuwa sijui kwa nini alia no...najua analia eti mie nitakutana tu tena na yule ex....
sasa analia nini wkt huna baya umetenda?
wewe endelea kuwa faithfuly hakuna kitachoharibika!