Equation x JF-Expert Member Joined Sep 3, 2017 Posts 41,750 Reaction score 65,384 Nov 5, 2026 #1 Sifa kuu za mtu anayeitwa "hamnazo" Mtu anayekuwa mzito wa kuelewa Mtu mwenye tabia za kitoto au kijinga Mtu asiye na umakini Mtu bwege au zuzu Mtu anayetaja taja majina ya watu kwenye nyuzi Mtu anayejipendekeza pendekeza ili aonekane wa maana kuliko wengine. Mtu anayefuatilia maisha ya watu kuliko ya kwake Mtu anayetukana tukana hovyo Je, wewe una sifa hizo, na hapa jukwaani ni wangapi wenye sifa hizo?
Sifa kuu za mtu anayeitwa "hamnazo" Mtu anayekuwa mzito wa kuelewa Mtu mwenye tabia za kitoto au kijinga Mtu asiye na umakini Mtu bwege au zuzu Mtu anayetaja taja majina ya watu kwenye nyuzi Mtu anayejipendekeza pendekeza ili aonekane wa maana kuliko wengine. Mtu anayefuatilia maisha ya watu kuliko ya kwake Mtu anayetukana tukana hovyo Je, wewe una sifa hizo, na hapa jukwaani ni wangapi wenye sifa hizo?
Lloyd Munroe JF-Expert Member Joined Mar 29, 2014 Posts 15,514 Reaction score 38,608 Nov 5, 2026 #2 Jembe na Nyundo huu ndio utambulisho wao.
Equation x JF-Expert Member Joined Sep 3, 2017 Posts 41,750 Reaction score 65,384 Nov 5, 2026 Thread starter #3 Brelim Skoro_ said: Jembe na Nyundo huu ndio utambulisho wao. Click to expand... Tuwasubiri waje
Jack Daniel JF-Expert Member Joined Sep 23, 2021 Posts 5,089 Reaction score 20,154 Nov 5, 2026 #4 Childish post
Equation x JF-Expert Member Joined Sep 3, 2017 Posts 41,750 Reaction score 65,384 Nov 5, 2026 Thread starter #5 Jack Daniel said: Childish post Click to expand... Hamnazo, wanajulikana tu