Elizabeth Gupta (kulia) na Nasreem karim-kanda ya Ziwa-Mwanza
Yuko fine,more dataz plz....hivyo tunaomba more dataz kama height nk...Ila yuko fine kwa mwonekano wa picha hii.
Kama ni kwa ajili ya hili shindano urefu sio kigezo hapa kigezo ni namna gani utawashawishi watazamaji kukupigia kura kuwa unawaentertain. Ndio maana humo wamo wenye ndoa na hata kuzaa watoto pia. Vigezo vyao ni tofauti na vya mashindano ya urembo au kisuraHeigh haijajafikia kiwango nina wasiwasi ila overall yoko mwake
Mbogela,Kama ni kwa ajili ya hili shindano urefu sio kigezo hapa kigezo ni namna gani utawashawishi watazamaji kukupigia kura kuwa unawaentertain. Ndio maana humo wamo wenye ndoa na hata kuzaa watoto pia. Vigezo vyao ni tofauti na vya mashindano ya urembo au kisura
Kama ni kwa ajili ya hili shindano urefu sio kigezo hapa kigezo ni namna gani utawashawishi watazamaji kukupigia kura kuwa unawaentertain. Ndio maana humo wamo wenye ndoa na hata kuzaa watoto pia. Vigezo vyao ni tofauti na vya mashindano ya urembo au kisura
kasema wazi yeye na mahusiano ya kimapenzi mbali mbali ngoja tusubiri na kuona kama ni kweli atakuwa ngangari kwenye issue ya maluv dove...
Kazi ipo kama issue ni ku entertain,bila ma lovey dovey kwenye shows za tv this generation haendi mahali...Tusubiri tuone maana bila controversy hata awe charming kivipi anaweza asishinde,Kina Mwisho na Richard kwa vigezo vyetu hapo bongo wangeshindia wapi?Si kuna baadhi ya watu hata waliponda sana?
Nadhani si lazima atumie technique ya malove davi ili ashinde kikubwa asome mazingira na alama za nyakati akiwa ndani ya jumba kama ataona malovi davi ndo issue ya kumfanya arudi home na hizo dallar ni ruksa!!!!!
Nadhani si lazima atumie technique ya malove davi ili ashinde kikubwa asome mazingira na alama za nyakati akiwa ndani ya jumba kama ataona malovi davi ndo issue ya kumfanya arudi home na hizo dallar ni ruksa!!!!!
What's up with that Gupta name?
She is an Indian origin