Makamba..
1.alikuwa mwalim wa UPE shule ya msingi Lushoto....
2.AKatunga wimbo wa TANU ambao ulikuja kutumiwa sana kueneza propaganda za TANU>>>JKN alitaka kujua nani alieutunga wimbo ule....akatafutwa .........safari ikaanzia hapo...akapelekwa kivukoni.....then JEshini
3.Waliingia Depo moja na JK jeshini........Monduli kama makada wa chama...(atamfia JK na si TZ)
4.Ni mlezi na support mkubwa sana wa watoto wa Makamba.....kielemi na kila kitu...
5.Alipokuwa jeshini akawa kada wa chama...........
6.Akateuliwa kuwa Mkuu wa Wilaya......
7.Mwinyi akaja kumpa ukuu wa Mkoa....MG baadae KG na Dar
8.JK akaja kumpa ukatibu wa chama.......
9.Ndipo hapoo alipo...hana shule zaidi ile ya UPE na seminari.....O level

...Hana makosa. We huwezi kumpa mjomba wako ulaji??? Utatolewa radhi uokote makopo!aliyempa cheo kikubwa ambacho sio size yake ndio ana makosa
Duh.. inamaana jamaa hata primary hajasoma? mbona haionyeshi hapa kwenye CV yake?Makamba hana elimu rasmi, ni mtu ambae amepanda by chance.
ameficha taarifa zake bungeni.
visit this link.
http://www.parliament.go.tz/bunge/mpcv.php?vpkey=1497
wana jf tunaonekana kukosa kazi. hivi kweli kiwango cha shule cha afande huyu nacho ni cha kuhoji? hivi ni katika speech ipi uliwahi kumsikia akibishana na neno hata moja la lugha ya malkia likiwa limetoka kinywani? .
Makamba..
1.alikuwa mwalim wa UPE shule ya msingi Lushoto....
2.AKatunga wimbo wa TANU ambao ulikuja kutumiwa sana kueneza propaganda za TANU>>>JKN alitaka kujua nani alieutunga wimbo ule....akatafutwa .........safari ikaanzia hapo...akapelekwa kivukoni.....then JEshini
3.Waliingia Depo moja na JK jeshini........Monduli kama makada wa chama...(atamfia JK na si TZ)
4.Ni mlezi na support mkubwa sana wa watoto wa Makamba.....kielemi na kila kitu...
5.Alipokuwa jeshini akawa kada wa chama...........
6.Akateuliwa kuwa Mkuu wa Wilaya......
7.Mwinyi akaja kumpa ukuu wa Mkoa....MG baadae KG na Dar
8.JK akaja kumpa ukatibu wa chama.......
9.Ndipo hapoo alipo...hana shule zaidi ile ya UPE na seminari.....O level
unamwulizia Dr makamba?
I doubt!Alisomeshwa na wakoloni kule makerere.than oxford Uk .na alimalizia Harvad .😉
teh teh teh...Bonge la CV..Limetulia kwa kweli..........lol
Makamba..
1.alikuwa mwalim wa UPE shule ya msingi Lushoto....
2.AKatunga wimbo wa TANU ambao ulikuja kutumiwa sana kueneza propaganda za TANU>>>JKN alitaka kujua nani alieutunga wimbo ule....akatafutwa .........safari ikaanzia hapo...akapelekwa kivukoni.....then JEshini
3.Waliingia Depo moja na JK jeshini........Monduli kama makada wa chama...(atamfia JK na si TZ)
4.Ni mlezi na support mkubwa sana wa watoto wa Makamba.....kielemi na kila kitu...
5.Alipokuwa jeshini akawa kada wa chama...........
6.Akateuliwa kuwa Mkuu wa Wilaya......
7.Mwinyi akaja kumpa ukuu wa Mkoa....MG baadae KG na Dar
8.JK akaja kumpa ukatibu wa chama.......
9.Ndipo hapoo alipo...hana shule zaidi ile ya UPE na seminari.....O
level