Razorblade
JF-Expert Member
- Aug 30, 2019
- 6,039
- 12,571
Nimepigwa script mkuu, nahangaika tena ๐.Umevipiga vita๐คฃ๐คฉ
Script ๐๐View attachment 3323598
Hatari kwa afya ๐.
Hata mimi nilianza hivyo hivyo lakini saizi kuna sehemu nimeganda sipungui siongezeki๐ ๐View attachment 3323598
Hatari kwa afya ๐.
Week yako hii๐Hizi wiki nina bahati na POTWView attachment 3323612
Sijaamini ๐Week yako hii๐
Sigusi tena huko, kwa leo inatosha ๐Script ๐๐
Kutoka alama 10 mpaka alama 79, ni huzuni sana ๐.Hata mimi nilianza hivyo hivyo lakini saizi kuna sehemu nimeganda sipungui siongezeki๐ ๐
Burudani sana, hongera.aHizi wiki nina bahati na POTWView attachment 3323612
Wafanyakazi wa EfootballNimepigwa script mkuu, nahangaika tena ๐.
Komaa kaka๐คฃ๐คฃ๐คฃView attachment 3323598
Hatari kwa afya ๐.
Kwel una bahati na POTW...Hizi wiki nina bahati na POTWView attachment 3323612
Nilkua namtaka sarah nme mkosa ๐ ๐Hizi wiki nina bahati na POTWView attachment 3323612
Kugumu ๐.Komaa kaka๐คฃ๐คฃ๐คฃ
Kazana kakaKugumu ๐.
Malengo yangu ni kufika dvn 1 kabla ya phase nyingine, ngoja nikaze vidole muda bado upo.Kazana kaka
Legend kwa sasa nishasema ni wafanyakazi wa Konami wanapokezana kucheza na sisiTangu update hili game limekua geni tumeanza kujifunza upya.
Legend AI kabla ya update nilikua nawafunga mpaka goli 6 ila sasa hivi wingers wao hawakabiki๐
Nimekwama kwenye rating 1600's vs AI sipandi sishuki ๐ญ