Naam mkuuKaka
Kaka upo fizikiLeteni timu
Nenda division kwanza wewe huku hatuchelewi kukuposti ๐๐๐Leteni timu
๐ ๐ ๐ mnipe skillls maana bado napasha kuzoea aviator tenaNenda division kwanza wewe huku hatuchelewi kukuposti ๐๐๐
๐๐Aah me siwezi weka mzigo kwa wengine wote mkabe๐๐Mi counter target hata kama hawakabi, nnapoikubali ni kwenye kona nikiokoa kona naweza kufanya counter ya haraka tu..
Ila nikieka mmoja tu apo mbele napata nafasi ya kukimbizana na beki aliebaki mara anakabwa ๐
Tutaanzisha league kwa ajili yako wote wakunyooshe humu๐๐I'm back
๐๐๐ Account yako mwezi ujao nitaichukua๐คฃ๐คฃ๐คฃHoly shit ๐๐๐๐ nikasema ngoja nitest imo๐View attachment 3625637
Sema huyo mwamba mtu sana๐คฃ๐คฃme kwangu ndo Best Destroyer kwa sababu ya speed nikipata account ina Desaal, Varane Maldini na Thuram alafu mbele yao kuna Viera kupita labda mtume maombi konamiDesal wa bei ya jioni๐
Uanze kutumia match up sasa...Sijui ku defend huyo destroyer nk uchochoro ๐
Uwe unanipa invite mkuu nikiona naingia๐๐huku kuja siku hizi mara moja moja sana kuna ๐ inatumia jina la Ex wangu kila nikiiona namkumbuka ๐คฃ๐คฃ๐คฃSelikavu
Kwema mkuu" upo live nije tupashe shivoo๐
Tutapita tuSema huyo mwamba mtu sana๐คฃ๐คฃme kwangu ndo Best Destroyer kwa sababu ya speed nikipata account ina Desaal, Varane Maldini na Thuram alafu mbele yao kuna Viera kupita labda mtume maombi konami
Nahusikaje apo๐๐๐ Account yako mwezi ujao nitaichukua๐คฃ๐คฃ๐คฃ
Nitakupa hii ya the conqueror umjaribu kaka na Movich๐๐๐nisipolud na Badge ya top 100 aulizwe Warld๐๐
Ngoja nimuiteUwe unanipa invite mkuu nikiona naingia๐๐huku kuja siku hizi mara moja moja sana kuna ๐ inatumia jina la Ex wangu kila nikiiona namkumbuka ๐คฃ๐คฃ๐คฃ
Ni jokes wakuu msije niwashia moto๐๐๐
Poa poa๐๐๐๐ Account yako mwezi ujao nitaichukua๐คฃ๐คฃ๐คฃ
Nitakupa hii ya the conqueror umjaribu kaka na Movich๐๐๐nisipolud na Badge ya top 100 aulizwe Warld๐๐
Match up ishanishinda kitambo nimeachana nayoUanze kutumia match up sasa...
Huyo mwamba huwa anavuta adi jezi๐๐
Nipo hapa nitaazima account siku moja ya mdau uoneTutapita tu