Yan naona bora niende kucheza PUBG tuu ๐
Ili uweze kumtumia vizuri huyu ronaldo inabidi utumie viungo vizuri zaidi tofauti na hapo utamtoa nje ๐๐Siuuuuuh ๐๐
Ndo inavyokua kila mwisho wa phase unarudishwa chini hapo itategemea phase iliyoisha ulikua dvn ipi.Mazei mbona nimerudishwa division 6 na nilikua 4? Na sijacheza hata game
4Ndo inavyokua kila mwisho wa phase unarudishwa chini hapo itategemea phase iliyoisha ulikua dvn ipi.
Kila phase lazima relegation iwepo hapo komaa hii phase walau ufike dvn 3 ambapo baada ya phase utashushwa mpaka gvn 5.
WarlDUpoo? Nipe username
Mkuu kuna wachezaji hata siwahitaji ( messi, Ronaldo, yamal } hao kwangu hawana nafasi ๐๐๐๐Ili uweze kumtumia vizuri huyu ronaldo inabidi utumie viungo vizuri zaidi tofauti na hapo utamtoa nje ๐๐
Maana mchango wao ni mdogo sana ambao ni kwenye kushambulia pekeeMkuu kuna wachezaji hata siwahitaji ( messi, Ronaldo, yamal } hao kwangu hawana nafasi ๐๐๐๐
Uje unifungeMkuu kuna wachezaji hata siwahitaji ( messi, Ronaldo, yamal } hao kwangu hawana nafasi ๐๐๐๐
Huna uwezo kijana ๐ค ๐คUje unifunge
๐คฃ๐คฃ๐คฃKazi ipoView attachment 3610273
Deepline ๐ค ๐ค
Unafungwaje na una kikosi chote hicho Vieira wa France kabisa si hutembei
Umepiga sana kazi๐คฃApo ukimaliza mechi inabidi mikono uichue
Kaweka jina la mchumba ake ๐คฃ
Me nimeingia tuu jioni game ya kwanza nikawekwa๐คฃ๐คฃmwamba ana mpira wa hovyo sana๐คฃ
Ya PUBG??Upoo? Nipe username
Huku kuna phases huwa ni week tatu mpak nne ikiisha wote mnaludishwa nyuma sisi wa div one tunalud 3 div two wanalud 4 div 3 wanalud 5 na kuendelea hukoMazei mbona nimerudishwa division 6 na nilikua 4? Na sijacheza hata game
Kacheza WarlD kwanini apo asifungwe ๐ค ๐๐ค ๐Unafungwaje na una kikosi chote hicho Vieira wa France kabisa si hutembei