Mlete matokeo sasa ๐We sio mwema hizo marking kheeh๐๐๐
Nimeyaacha room๐๐๐pepe anatembea na lastborn kila sehemuMlete matokeo sasa ๐
Sema hili goli la mwish aisee konami wamenihujumu tuWe sio mwema hizo marking kheeh๐๐๐
We kuhujumu wenzako kuhujumiwa aaah๐๐Sema hili goli la mwish aisee konami wamenihujumu tu
Hahaha ila nilimkamia yamal mechi ya kwanzWe kuhujumu wenzako kuhujumiwa aaah๐๐
Twende tuguse mzee ama vpNiliona kaka vp sasa hv
We sio mwema kabisa game yako nilijua tuu itakua ngumu sababu ya markings sijui kwann sikuwaza njia mbadala mapemaHahaha ila nilimkamia yamal mechi ya kwanz
yeah mkuuTwende tuguse mzee ama vp
Si mwema mm๐๐We sio mwema kabisa game yako nilijua tuu itakua ngumu sababu ya markings sijui kwann sikuwaza njia mbadala mapema
Nashangaa mzee akat tuliwah gusa kipind kile ulininywa balaaLeo mbona midoli yangu inazubaa hv au network jau nini
Kweli we si mwema kaka ๐Si mwema mm๐๐
Yaani tokea juzi inazingua sijui imekuwaje, unairuhusu mapema kufanya maamuzi yenyewe haitaki, inataka kutuliza kwanza ndo iendelee wakati huo opponent hanisubili naishia kutukana tu ๐๐Nashangaa mzee akat tuliwah gusa kipind kile ulininywa balaa
๐๐Afu pia na mitandao inachangia yan iyo siku mtandao kwak ukawa unasom low lazma wachezaj wajivuteYaani tokea juzi inazingua sijui imekuwaje, unairuhusu mapema kufanya maamuzi yenyewe haitaki, inataka kutuliza kwanza ndo iendelee wakati huo opponent hanisubili naishia kutukana tu ๐๐
Jarib mtandao unao itik vzr kutokan na sehem๐๐Nitakuja nifanye maamuzi magumu niyauze yote mimi nianze upya ๐