Kwema mkuuMamaster kwema
Kumbeee Razorblade wewe kuku wa maziwa leo ulichonifanyia๐๐Utafika umechelewa za kukabia ni mbili japo inabidi uwe chap kwenye vidole ni Match up na Dash kwa kukaba nafasi lakini, na hapo inabidi umsome mpinzani wako anacheza mpira gani mfano kama anapenda kupitia kulia we akishika mpira kabia kulia na ukiona amechange ameanza pitia kushoto na wewe usilale kama Anko T chap rudi kushoto japo yeye pia itamtesa maana keshakua na mazoea ya kupitia kulia
Kwema mkuu, za uzima?Kwema bibie.
Razor huyoooAlhamdulillah.
Unapotea sana mkuu.
Corrie ulikuwa umefumba macho๐
Ongeza na Razorblade katibu wao๐
We ndo utanipanga sasa kakaKaka mida ganii ila saiv niko bizy kdg niko na mitest kibao wiki hii
๐Shida sio training shida results zipo wapKwani kwenda training ni kosa? Au wewe huendi training kujifunza vipya?
Jiandae na tisa mkuuHusumbui wewe ๐
Mbona siwaelewi nyie nani alishindaMechi zote hazijaisha napiga screenshot ya nini? We kula win zako hapo.
Mimi hapa๐๐ anafata KandambiliUserious gani unataka mkuu? Kwani kuna mtu anapenda kufungwa?
Khalas ๐๐
Jiandae na tisa mkuu
Walrd ana watu wake ๐๐๐๐ hadi ww AI kakufunga n htr
Utakuja na PF3 sioUkiweka hiyo hana net unafanya mtu aje na wema room mkuu, mie sitaki wema wa mtu.