Aah wap mkongwe wewe๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ Kijana kashinda"mimi bado kibonde
Hata me naona๐Usiamini hayo matokeo ni scam.
We tunajuana kaka๐Huoni umenibonda game zote tena ulivombad comeback ya maana kabisa
Aje kwangu๐Dash naona inafanya poa kwenye kukimbizana ila mtu akiwa anatoa mojamoja ni useless
Mwambie alete matokeo mkuuHata me naona๐
Sema nmemnyasasa hadi najiona nazingua ๐๐Aje kwangu๐
KaletaMwambie alete matokeo mkuu
Au yalr ya statsMwambie alete matokeo mkuu
Aah we sio mwemaSema nmemnyasasa hadi najiona nazingua ๐๐
Eeh nje ya hayo ni AIAu yalr ya stats
Huyu tatizo hayupo seriousAah we sio mwema
Mbn kam huyu bayern ni mkali sanUnaubonda mkuu ๐๐๐ค ๐
AseeeEeh nje ya hayo ni AI
Twende tukacheze leagueMbn kam huyu bayern ni mkali san
Kibonde tu huyo๐Mbn kam huyu bayern ni mkali san
Saiz?Twende tukacheze league
Hahaha!! Akat ananifungaga san hyoKibonde tu huyo๐
NdiyoSaiz?
Huyo BayernHahaha!! Akat ananifungaga san hyo
Heshima yako master ๐๐Utafika umechelewa za kukabia ni mbili japo inabidi uwe chap kwenye vidole ni Match up na Dash kwa kukaba nafasi lakini, na hapo inabidi umsome mpinzani wako anacheza mpira gani mfano kama anapenda kupitia kulia we akishika mpira kabia kulia na ukiona amechange ameanza pitia kushoto na wewe usilale kama Anko T chap rudi kushoto japo yeye pia itamtesa maana keshakua na mazoea ya kupitia kulia