Nipo pale niite Eli Mpanzu Kibisawala,๐คฃ๐คฃMda wa ku spin๐
Yeye ni GGR muda wote friend match aaaanhWacha nikutunuku crown la mpenda GGR ๐๐ฅ
Sisi tupo mkuu uwepo wako Pipijojo wetu in Desaal voice umekumbukwaNimewamiss๐๐๐ mnaendeleaje na league? Leo tena nimezungusha hollaaaaa
Lamine beib anagoma kuja CF ๐ฅน
Selikavu
Hamna neno mkuu" mimi bado beginner ๐Jogoo wa Shamba II mkuu jioni tutapanda nyingi
Attacking surge๐ค ๐๐ค ๐Sisi tupo mkuu uwepo wako Pipijojo wetu in Desaal voice umekumbukwa
Najua wanangu mmekaaa kungojea atakayesema nimekumic pia๐คฃ๐คฃ๐คฃili muwashe moto๐๐jau kwel nyie heartless people ๐๐
Ngoja Lamine atafutiwe position training akae pale CF
Tap tap the screen guys ๐
Alete account nikampe wifi yake wakataptap๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ
Nimelia sanaUmeengoa kwa sauti ungejaribu kupunguza kidogo ๐๐ค ๐๐ค
Kaka niwe mkweli ukijifunza fair play basi utakuwa master ila ukiendelee kufunga midoli isiyokaba basi wee ni noob probonoNawakumbusha tu nina Ronaldo wa 105 kwahiyo kwenye ligi mje polepole hasa Warld Razorblade
๐๐ lbda ndio iwe ww wa kwanzKuna nyakati mnaliwa nyie kimasihara ila mnakuja kuandika mmekula kimasihara
Shikamoo brazaHabari zenu wakuu.
CodeShikamoo braza
Huoni hapo nina tuzo ya fair playKaka niwe mkweli ukijifunza fair play basi utakuwa master ila ukiendelee kufunga midoli isiyokaba basi wee ni noob probono
Ni vile tuu tumekataa kujielezaKumbe nae sio mwema