Jogoo wa Shamba II
JF-Expert Member
- Jan 14, 2013
- 3,648
- 7,183
ByaroNipe username yako nikuadd tupande
Utaona account mpya hapo imekupa requestByaro
๐๐ me mwema?Unatishia watu kaka๐
Tangu lini๐๐ me mwema?
Game yako si ilikua na warldNa Jana nlim quote hakujibu
Poapoa mkuuUtaona account mpya hapo imekupa request
Nimekutumia mkuu tuguse...Poapoa mkuu
Me nimeuliza tuu๐ฅฒ๐Tuliaaa bobuu๐๐๐๐
Watakuwa live sangapi? ๐ mana mi naona tu watu wanapost selewi selewiMkuu kesho wahi kwenda live wakati konami wakiwa live uzingatie kwenye code za kupata free card kwenye pack ya cryuff ๐
Tunaamka nao asubuhi haoWatakuwa live sangapi? ๐ mana mi naona tu watu wanapost selewi selewi
Kwishaa ๐ huyo Cruyff ๐ฅTunaamka nao asubuhi hao
Kile kiumbe hapanaKwishaa ๐ huyo Cruyff ๐ฅ
Hii phase sijapush..Kile kiumbe hapana
Umefikisha poinys 1900 na ngapi??
Tumeanza kuringishiana bagde sio ๐๐Points 26 promotion match siku hizi konami wamepunguza uchaga๐๐View attachment 3600733
Eniwei achaneni na loss zangu nimebadilisha formation kama CorrieView attachment 3600735
Upo changanyiken??Hii phase sijapush..
Phase ngumu balaa, nipo div 2 nitacheza kumchukua yule showtime tu
Me siwalingishii sas division one ni kitu cha kusumbua pro๐Tumeanza kuringishiana bagde sio ๐๐