Wengine tu add tu jumla jumla
I'm in broActive member tuwajue tulete league soon
I'm in broActive member tuwajue tulete league soon
Mbona Depal hujamjumuisha? Muweke akatoe GD nyingi ๐๐๐Active members
League registration
Razorblade
lestone
Warld
Corrie de killer
NEGAN
Alexander Lukashenko
Gilberto_
Kandambili1
Edo kissy
Nawajua nyie hamna wema kabisa...
Atapata win kwangu kama kawaida.Nawajua nyie hamna wema kabisa...
Kama Lestone ashaanza kulilia game ya kwanza apangwe na Depal
๐๐ Abee
Ntakuja kuwaangalia๐Atapata win kwangu kama kawaida.
Mjumuishe hapo apate changamoto mpya ๐
Wanataka nijute.. nikome kuwazoea km nilivyozoea kina AINawajua nyie hamna wema kabisa...
Kama Lestone ashaanza kulilia game ya kwanza apangwe na Depal
Umechapwa na nani? Usinambie AI wamekufunga๐๐๐๐๐๐๐
Kwa hakika ndugu yangu, hasa baada ya kuniambia na commentary nayo ni download, pia baada ya kupata vichapo viwili mfululizo mood imekata kidogo๐๐
Ila I will back stronger again
Nita revive battle again na huku kama DLS๐ช๐ฟ๐ช๐ฟ
Embu toka huko ๐๐Atapata win kwangu kama kawaida.
Mjumuishe hapo apate changamoto mpya ๐
Hakutakii mema huyo๐๐ Abee
Aah we komaa na AI wako๐๐Wanataka nijute.. nikome kuwazoea km nilivyozoea kina AI
Unataka ujipatie mwanafunzi๐๐Umechapwa na nani? Usinambie AI wamekufunga๐๐๐๐
Hapana tunakuhitaji kwenye ligi ๐Ntakuja kuwaangalia๐
Acha basi ๐Embu toka huko ๐๐
Humu tuu ๐๐Daah atleast Arsenal are out