Huyu hashuki hana live boosterWakuu POTW wanaoshuka si ni wale wenye booster pekee?
Nimemuopoa Courtois hapa nilikuwa namtaka sana.
View attachment 3314135
Hizi 90+ zinanikera sana aisee, siku ambayo first eleven yangu na subs wote wakiwa 100+ nitafurahi sana.
View attachment 3314136
Nitaijaribu kesho mwalimu ๐.Acha basi๐คฃ๐คฃ๐คฃ
Nimemtoa kabisa ๐.Camavinga ๐คฃ๐คฃ๐คฃ
Burudani sana.Huyu hashuki hana live booster
Unahangaika nae na hilo booster lake, nilipata free spin pale kwenye world player nia yangu nimpate Trent lakini sijafanikiwa.Namtaka Martinez pale nimechoma wamenipa raphinha
Amna mwache form yake bado ni B au kwa sababu ana 99๐คฃ๐คฃ๐คฃNimemtoa kabisa ๐.
Si badala ya Martinez wamenipa tena Courtiois ๐ฅน๐ฅน๐ฅน๐ฅนwakati ninaye wa 99Burudani sana.
Yule msimu huu hashuki formUnahangaika nae na hilo booster lake, nilipata free spin pale kwenye world player nia yangu nimpate Trent lakini sijafanikiwa.
Hata ribery nae ni B, nilimuweka kwa hisani tu ๐.Amna mwache form yake bado ni B au kwa sababu ana 99๐คฃ๐คฃ๐คฃ
Mpige chini huyo wa 99.Si badala ya Martinez wamenipa tena Courtiois ๐ฅน๐ฅน๐ฅน๐ฅนwakati ninaye wa 99
200 yangu imeenda
Haya endelea kuchoma coins mie zangu nitachoma kwa Gesperin tu.Yule msimu huu hashuki form
Mbona hiyo kawaida wazee ๐๐ mi sijui game ๐๐
Michezo hiyo ๐.Mbona hiyo kawaida wazee ๐๐ mi sijui game ๐๐
Mwanang division 1 mbona saivi anafika kila mtu ๐๐๐Michezo hiyo ๐.
Master Selikavu unaitwa.Oya wakuu, aliepo free tuzame akanifundishe mchana nilikosa muda ๐
Sawa mkuu ๐.Mwanang division 1 mbona saivi anafika kila mtu ๐๐๐
Tuzame?Sawa mkuu ๐.
Nafasi niliyonayo hapa ni ndogo mkuu.Tuzame?