Eeh jina lingine ni Goal poacher ukiweka english ya US SijuiNi adv. Stricker
Huna cha kunishangaza kichwa weweNtakushangaza ๐
Aah!! Aise huyo dahari akipatag chance hajawai kosaEeh jina lingine ni Goal poacher ukiweka english ya US Sijui
Ni mtu haswa niliona stats zakeAah!! Aise huyo dahari akipatag chance hajawai kosa
Ntakurudia ๐
Nitakuwa nimelala ๐Ntakurudia ๐
Aisee ๐Nimsubiri kibonde wangu Razor
Au niende nikampige mabuti
Kwenye events nilikutana na mtu kamchukua Mbappe na Garcia kwenye hii pack ya Yamal nikasema ngoja nikupe sababu ya kununua coins๐คฃ๐คฃEee nilivyoona mechi ya kwanz kunichezea kam mtot๐๐
Nikitulia nakucheki.
Nachukua mnazi nipo kwenye process.Huna cha kunishangaza kichwa wewe
Ukishakuwa familiya ya eFootball kuwahi kulala ni uhaini ๐Nitakuwa nimelala ๐
Aah๐๐iwe inastream tuu ukae na account ya YoutubeNachukua mnazi nipo kwenye process.
Lazima ipigwe test ๐Aah๐๐iwe inastream tuu ukae na account ya Youtube
Unyama๐Lazima ipigwe test ๐
Hahahaha hapo ataenda ten ku spin aiseKwenye events nilikutana na mtu kamchukua Mbappe na Garcia kwenye hii pack ya Yamal nikasema ngoja nikupe sababu ya kununua coins๐คฃ๐คฃ
Kikosi chake hichi hapa hajamchukua Yamal
View attachment 3594332
Matokeo na man of the match
View attachment 3594333View attachment 3594335
Nadhan baada ya hapa ataenda kumchukua Yama๐คฃ๐คฃ