Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 46,395
- 102,554
ni mwecheche, sema f wote wako na rating ya 8-9.5
Mm sio hoehaeWe hizo hela unazo?
Piga ignore tuuuJamaa anatuwaz san huyu๐๐
Hawa ndio wale walikuwag masnitch san kipind wako maskonga
Aah umekutana na Fernando Torres, Frank Lampard na Ferderico Valvedeni mwecheche, sema f wote wako na rating ya 8-9.5
Twend tuguse mech mbili tuPiga ignore tuuu
Unabadilisha username kama jasusi ๐Miss bebe nimehama ๐คฃ
Hapana cheza na trainer akee
Add hiyo MsBeverlyn
Ngoja nimsajili valvede hapa mancity, maana mbape alifeli nika muuzaAah umekutana na Fernando Torres, Frank Lampard na Ferderico Valvede
Usiku ndo muda mzuri wa kunionja, mchana utanimaliza ๐๐๐๐ mwambie Seli afanye jambo
Nkuonje..
skukimbiii, nalala sana ๐คฃ๐คฃ
Azitoe wapiWe hizo hela unazo?
Umeenda City lini?? Si ulisema upo PSGNgoja nimsajili valvede hapa mancity, maana mbape alifeli nika muuza
Nitajaribu kwa kutumia mtandao mwengine nione kama itakuwa bado inalag.Aah inabid tuandae kesho jumapili tufanye streaming
๐๐nimeamua nikae kmy tuAzitoe wapi
Na huo msuko wake avatar.. anawaiga black americans wakati ye yupo Tz ndani ndani huko
๐ nawachanganya watesi ..Unabadilisha username kama jasusi ๐
Ili unikute nasinzia unibutue?Usiku ndo muda mzuri wa kunionja, mchana utanimaliza ๐๐
Angekuwa nazo asingekuwa anakuja kuchamba umbea humu, ukute alikuwa winga wa kutafuta wacheza PlayStation kwenye ofisi ya mtu ndo apate hela ya kula ๐We hizo hela unazo?
uwezo kaka, offers ni nyingi mno ๐Umeenda City lini?? Si ulisema upo PSG
Siku ile umestream uliweka setting za stream vibaya ilikua haionekani vizuri...Nitajaribu kwa kutumia mtandao mwengine nione kama itakuwa bado inalag.
Mbele mbele yao ๐Ngoja tujifunze kuokoa kwanza tukiingia Room ni kubutua tuu,๐ ๐
Mnaziona tackles lakin๐