eFootball Special Thread

Depal kukucha nitakuwekea maelezo ya namna ya kuweka match ya kucheza nataka ucheze league ya EPL msimu mzima na team yako ya Chelsea๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒukimaliza mechi zote 38 na game utakua umejua๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ
 
Aah hiyo notification achana nayo ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ


Nilikupa zile setting umeweka??


Alafu pia dogo si yupo atakuongezea ufundi siku ukienda๐Ÿ˜ƒau humtaki
Kurudi alipo dogo ni mpaka Dec ๐Ÿ˜€
Sikukuu zimeisha sahv

Setting za mchana nilimaliza
Sahv nmestuck kwenye hizo button.. kwani huwezi kumslaidisha na screen ya cm mpk utumie button?
 
Depal kukucha nitakuwekea maelezo ya namna ya kuweka match ya kucheza nataka ucheze league ya EPL msimu mzima na team yako ya Chelsea๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒukimaliza mechi zote 38 na game utakua umejua๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ
๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€ chelsea hawataniponza kweli hata kama ni game, hawaaminiki.!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ