Hao ulowatag ni wanafunzi wenzako, jobless au nao wanaishi kwa shemej zao?
Dah nani kasema hivi ๐Sasa mwenzio huyo kaka ako hanitaki, eti anaitaka efootball.
[emoji23][emoji23][emoji23]
Nimekumiss pia mejiii.
Karibu ujumuike mkuuHuu ni uzi wa wanafunz wa vyuo, wasio na kazi na wanaishi kwa shemej zao tu
Amekuja kufanyaje sasa kama anajua hamuhusu๐คฃ
Maisha fanya unachopenda๐dunia ishabadilika muda sanaJau sana๐
Mkuu kazi kwel kwel eniwei ni mtazamo wakeAnalazimisha wote tupende pombe sijui.
Hajui game halihusiani na maisha ๐ฏ
๐๐๐Ngoja tuone kama tutatengeneza kundi la Whatsapp kww ajili yako๐๐Wasalimu telegram ๐๐๐พ
Waambie night wawe wanakuja niwape code na vipigo๐๐
Niliona mapema tuu ๐๐yupo kutusema sisi ๐ฌHilo lijamaa jau sana, kasome Tena username yake๐ฎ๐๐พ
PamojaLeague yetu ya Coop
Team zipo tano...
Tutacheza Mfumo wa Round kila timu itacheza na team zote kwenye league...
Game itakua moja lakin pia kutakua na round two...
So Round one mechi moja then ukishamaliza opponent wote tunaanza kuludiana...
Kwakua zipo team Tano team moja kila siku itakuwa inapumzika๐๐๐
Game ni moja ya Dakika 12
No extra time
Condition excellent..
Injuries Off
KUWAKE๐ชView attachment 3587024
Round One
View attachment 3587025
Achana naeMthenge.
Leo usiku kutaanza kuwakaPamoja
Tunaanza Leo.