SawaaNikienda live nitakuchek
Sasa mwenzio huyo kaka ako hanitaki, eti anaitaka efootball.
[emoji23][emoji23][emoji23] nisaidie mejiii jamaaniiii.Ma mkali game umelishusha tayari?
We jamaa unataka akajifunze kwenye live stream bila kumpa hints hata kwa picha namna ya kuzuia na kushambulia?
Mpe dokezo walau akija live akiona unashambulia/kuzuia ajue umetumia button zipi.
Umeniita mwenyewe [emoji23]
Usijali mejii asipopataka mie ndo napopataka, tenga chakula mezani mie ntakula kwa niaba yake ๐Sasa mwenzio huyo kaka ako hanitaki, eti anaitaka efootball.
[emoji23][emoji23][emoji23]
Nimekumiss pia mejiii.
Embu fanya kama unatuma screenshot ya game kwanza nione kama umelishusha ๐[emoji23][emoji23][emoji23] nisaidie mejiii jamaaniiii.
Leta badge kwanza ๐Sawa mkubwa nikupe code saa ngapi
Sasa code huku mkuu? Embu njoo chimboni kule ๐Code ni muhimu pia mkuu.
We njoo chimbo uone ๐Aghaaaa๐๐๐พ fresh mwanetu unaruka tuu๐
Badoo [emoji23][emoji23][emoji23]Embu fanya kama unatuma screenshot ya game kwanza nione kama umelishusha [emoji23]
Haya ukiwa tayari utasema ๐Badoo [emoji23][emoji23][emoji23]
Mkuu.Nakubali
MkuuuMkuu.