Dodgers Gamers
Member
- Aug 20, 2025
- 86
- 103
Sijawahi ndio naanza nilikuwa DLSUmeshawai kulicheza
Sawa, ngoja nikachukue hiyo tgramUkitaka maelekezo ya kutosha mtag Selikavu au kama unatumia Telegram tumia link naiweka hapo chini kujiunga.
Ikiwa utajiunga telegram hakikisha unaenda settings kuficha taarifa zako kabla hujajiunga kwenye group.
Kama huna telegram pakua kwanza VPN ya 1.1.1.1 ambayo itakusaidia kupata verification code kwa urahisi wakati unajiunga.
JF Champions League
WALL OF PREMIER LEAGUE CHAMPIONS Selikavu ๐ ๐๐๐ The Conqueror ๐๐๐ Gilberto ๐๐ Mr Devil ๐ Negan๐ WALL OF CO-OP CHAMPIONS๐ Kandambili & Elynxvi ๐ WALL OF NIGHT CUP CHAMPIONS Myunani๐t.me
Okay karibu sana Binafsi pia nimetoka DLSSijawahi ndio naanza nilikuwa DLS
Karibu.Sawa, ngoja nikachukue hiyo tgram
We sio mwema.View attachment 3567982Ivo vichwa saivi nitaenda kuwatesa sanaaaa ๐๐ฅ
Itakuwa unyama.. Telegram saivi kwangu nzito mno kufunguka mpaka nimeachana nayo.Wakuu group la telegram lirudi huku jf imetulia now.
Kama mm tu yaani hadi ifunguke ni dakika 10 hivi.Itakuwa unyama.. Telegram saivi kwangu nzito mno kufunguka mpaka nimeachana nayo.
Hakuna matumizi ya kiunganishi? Maana hapa nimetumia kiunganishi.Wakuu group la telegram lirudi huku jf imetulia now.
Unaingia bila kiunganishi?Ujumbe umefika๐, mje huku wakubwa.
Sawa kibonde ๐Nimerekebisha mkuu, typing error.
Nb: natumia Tecno f1๐๐
Napotea sana, habari zenu nyote๐๐๐๐Okay karibu sana Binafsi pia nimetoka DLS
Konami hawawezi kukubagua yan wote tunaolink account zikubali ila wakatae kwako tu?Wakuu natanguliza salama
Naombeni msaada wa namna ya kuipata account yangu ya Efootball, niliibiwa simu na baada ya kupata simu mpya nimejaribu ku link ile email ya Konami lakini imekataa
Sasa mwenye ujuzi wa kunisaidia tafadhali naomba msaada wenu.
Nacheza huki nimefumba macho ๐Uchokozi. Saa 4 usiku nakumalizaa๐ฅ
Hukutoa password kwa mtu mwingine?Wakuu natanguliza salama
Naombeni msaada wa namna ya kuipata account yangu ya Efootball, niliibiwa simu na baada ya kupata simu mpya nimejaribu ku link ile email ya Konami lakini imekataa
Sasa mwenye ujuzi wa kunisaidia tafadhali naomba msaada wenu.