eFootball Special Thread

Yani hawa konami wawe wanaangalia na watu wa kuwapiga hizo script zao ๐Ÿ˜‚.

Nimecheza mechi 6 tu, win 5, loss 1 halafu kuna mmoja nikamfanya mbuzi wa kafara ๐Ÿ˜‚.
๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡



Kuna watu wanasema Tony Adams hana speed, sipingani nao na wala sikubaliani nao ila nimempa kazi muhimu katika mechi ya mwisho.

Beki zipo juu halafu jamaa akapiga mpira mrefu Tony akaanza mfukuzia wakati huo nafikiria nipige tackling au niache maana huwa zinanishinda, jamaa nae akazidi kuupaka mate mpira nikaona bora kula red kwa manufaa ya timu, nikamwambia โ€œTony kill himโ€ basi kabla jamaa hajaingia kwenye box tony akaitenda kazi vyema ๐Ÿ˜‚.


Hatimae nimemalizana nao kwa siku ya leo na napumzikia hapo kwanza.
๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡
 
Daah division 3 uwanja wa vita. Ukifika hapa lazima upumzike kwanza๐Ÿ˜…. Nikifika hapa naweza nitulie kwanza hata week ndo nianze kucheza
 
Kuna vitu viwili nataka nijifunze toka kwako nadhan vitanisaidia

Kutuliza mpira na kupanga mashambulizi bila kukosea na kukaba๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€
Kwenye mechi za kirafiki ndiyo sehemu ya kujifunza kwahiyo akili yako isiwe kwenye kupata ushindi tu ila kwanza inabidi akili yako iwe umeiandaa kujifunza kutokana na makosa yako na ya mpinzani wako, hii itakusaidia kuwa na utulivu.
 
Kwenye mechi za kirafiki ndiyo sehemu ya kujifunza kwahiyo akili yako isiwe kwenye kupata ushindi tu ila kwanza inabidi akili yako iwe umeiandaa kujifunza kutokana na makosa yako na ya mpinzani wako, hii itakusaidia kuwa na utulivu.
Nitajitaid niwe najifunza niache kukamia sasa๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Nitajitaid niwe najifunza niache kukamia sasa๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Kama mechi ya kwanza ulikuwa ukija na moto nikipokonya mpira natafuta mchezaji aliyefungua tunagonga, hata goli nilokufunga nilikulazimisha ufanye makosa ndani ya box na ndo najisikia raha sasa nikishinda kwa namna hiyo hata ungekuwa umenifunga zaidi ya goli 2 ๐Ÿ˜‚.
 
Ndo maana nimesema raha yangu utoke bila goli maana unanitafuta makosa kila mechi๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ