eFootball Special Thread

Ninashida nahizi treasure link kwenye account yangu ya pili inabidi kesho tufanye jambo kama haupo online sasa
 
Wakuu tumefika wanne Telegram mje mje
NEGAN Edo kissy Mill broh Kandambili1 Warld Mr Devil na wengine...
Link hii hapa


Kama huna Telegram download kisha download Vpn hii hapa Playstore 1.1.1.1.1 ili uweze kujiunga utawasha VPN ndo uweke namba ili utumiwe verification code then ukipata njoo group utakuta Proxy utaunganisha then utafuta VPN utaendelea kutumia Telegram kama kawaida...
 
๐Ÿ˜น๐Ÿ˜นtelegram na group zangu niili zikimbia ili niende mbinguni sasa utakuaje nikirudi tena
 
Wapo busy wamefungiana ndani na wao๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ
Dah! Hili jina jipya limenichekesha sana, ulichowaza kichwani unajua mwenyewe ๐Ÿ˜‚

Usisahau tumecheza game 2 na tumefungana ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Matokeo mechi ya kwanza Benfica 2-1 Santos, mechi ya pili Benfica 1-2 Santos
NEGAN Gilberto_

Waliozima JF wamenizuia kuvimba, oyaaa fanyeni mje telegram bhana mnazingua na nyie ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
@Selikavu amepinda๐Ÿ˜€
 
Kwan hiyo game uliyonifunga iliisha kaka๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ