Razorblade
JF-Expert Member
- Aug 30, 2019
- 6,039
- 12,571
Nikishindwa naweka AI control ๐Wanazibua hao utaleta mrejesho hapa ๐๐
Mimi hapa nitakuwa kibonde wako ukajipigie๐๐Mm mgeni wakuu natafuta kibonde mwenzangu
dah ww unaonekana masta snaMimi hapa nitakuwa kibonde wako ukajipigie๐๐
Naonekana tena mkuu wakati me mtu wa kawaida sana๐๐dah ww unaonekana masta sna
Ahh nmesoma soma coments humu unatisha sanaNaonekana tena mkuu wakati me mtu wa kawaida sana๐๐
Mkuu wasiwasi wako tuu๐๐Ahh nmesoma soma coments humu unatisha sana
Utauponza ๐dah ww unaonekana masta sna
Dadeki Umeni fedhehesha sana leo tupamde๐๐๐๐ฅ๐ฅWewe hamna kitu bhana ๐๐๐
Mkuu samahani aiseh nlipitiwa na usingizi ndo nashtuka muda huu...nitaomba tucheze leo muda wowote.Ni balaa bado mapema๐
Dream league game lakitoto arafu baya sana...Dream League Soccer ndio habari ya mjini.
Msaada natk kusajil wachezaji na shangaa wananiletea hiviKikosi changu cha mwisho kukitumia nimebonda sana wahindi online match wanaquit ๐na hio formation ya 4222 ya Rafael Benitez.
Ilikua mwendo wa counter attacking football tu. Nilikua na asrosto nalo balaa sasa tangu nihisi account yangu wameshaifuta mzuka nalo umepotea.View attachment 2812465View attachment 2812466View attachment 2812467
Niko hapa kaka humu vibonde tupo wawili tu,Mimi na Razorblade ๐Mm mgeni wakuu natafuta kibonde mwenzangu
๐๐kaka una tufukuzia training yetuMimi hapa nitakuwa kibonde wako ukajipigie๐๐