Nimevipiga vita toka division ya 7 huko acha nipumzike nitaendelea kesho tenaView attachment 3463982
Aah tatizo muda๐๐๐ ๐ usije nifikia na kuni pita ,make toka juzi sija cheza tena
Nimepata dharula mkuu, kama utakuwa na nafasi kesho tuguse baada ya maintenance.Saa 2 kama utakuwa hewani tuguse. Razorblade
๐ mwisho lin kwan hii seasonAah tatizo muda๐๐
PoaNimepata dharula mkuu, kama utakuwa na nafasi kesho tuguse baada ya maintenance.
Pamoja.
Ngoja niweke TTCL hewan sasa๐๐Nne na nusu tucheze ngoja nijiunge bando
Bado siku 7 kumbe ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐ mwisho lin kwan hii season
Tuma inviteNipo hewani
Sikuoni kama upo online kwanguTuma invite
Oya familiaDua๐
Upo naingia kwenye game saizi utanikuta hukoMkuu
NimekujaMkuu