Niliingia na QC, Amorim.Siwezi mkuu skills zako zipo juu sana....nimeshindwa kuendana na Kasi yakl....
Na nimeona ghafla umebadilika game ya pili sikujua umebadili kocha mkuu...
Master wa michezo๐๐๐anakuambia amejifunza๐คฃ๐คฃ๐ duh umejifunza nini sasa?
Ligi yake hii ๐ ๐Me nipo kucheka tuu๐๐๐คฃ๐คฃsasa kama Kandambili kakusumbua wewe nani mwingine amebaki๐๐๐wa kumfunga๐๐๐
Ulianza na LBC๐๐Niliingia na QC, Amorim.
Nimeondoka na 1 2 zile pass zako kufungua njia ....pia hupigi pass nyingi lakini unapiga kwa mipango sana๐ duh umejifunza nini sasa?
Na wewe umembonda nyingi na mpira mkubwa hongeraMkuu na unaona nimebondeka 4 hapo juu ๐คฃ๐คฃ๐คฃ
Na Hapo Puskas kaanzia benchi ๐๐Wakuu mjipange bingwa Kandambili ๐คฃ๐คฃ
Alianza nA Osimenh ๐๐Na Hapo Puskas kaanzia benchi ๐๐
Umezidiwa possession nyingi hivyo kweli ulikua unapumulia mashine๐Kandambili1 GOOD GAME MKUU ๐ฅ๐๐ซฐ
baada ya mechi ya kwanza ulinifanya niende kwenye store ya makocha wangu pale nitafute wa kunipa matokeo mana sio kwa hiyo possession game yako ๐ฅ๐ฅด๐
unaanza pasi nyuma kwa kipa mpaka unafika mbele unafunga mi nashikilia matchup tu ๐๐
View attachment 3461813View attachment 3461814
Huyo huyo pamoja na Balle na Hazard ๐๐Alianza nA Osimenh ๐๐
Pia kwenye shooting bado nastruggle maana golini kwako mbona nimefika sema shooting bado ...๐ duh umejifunza nini sasa?
Na hapo hana smart assist ๐คฃ๐คฃ๐คฃUmezidiwa possession nyingi hivyo kweli ulikua unapumulia mashine๐
Kazi ipo๐๐Huyo huyo pamoja na Balle na Hazard ๐๐
Jamaa kanipigia pasi mpaka nikachanganyikiwq asee mechi ya pili ikanibidi na mi nurudi kwenye mchezo wa pasi tu ili asikae na mpira ๐Umezidiwa possession nyingi hivyo kweli ulikua unapumulia mashine๐
Puskas amechoka leo mkuu....wa kesho atakutana nae๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃNa Hapo Puskas kaanzia benchi ๐๐
Weka main account yako sasa Master ๐Nashukuru sana mkuu....yes nacheza hivyo sababu siwezi fanya movement nyingi mkuu kwenye game....hahaha nashukuru nimejifunza vingi mkuu.
Kandambili cheza nae na Possession game au QC ila LBC utastruggle mno๐๐Niliingia na QC, Amorim.
Haha kuna mashuti alikuwa anapiga kwa kugusa kidogo tu, nadhani alishazoea smart assist inamboost shots zakeNa hapo hana smart assist ๐คฃ๐คฃ๐คฃ
Aah kwel lazima side effects ibaki๐คฃ๐คฃ๐คฃHaha kuna mashuti alikuwa anapiga kwa kugusa kidogo tu, nadhani alishazoea smart assist inamboost shots zake
Haha utaizoea tu mkuuPia kwenye shooting bado nastruggle maana golini kwako mbona nimefika sema shooting bado ...
Pia direction inasumbua tofauti na smart assist ๐คฃ๐คฃ ndo maana ukaona pass zinajirudia kwa mtu mmoja