eFootball Special Thread

Kandambili1 GOOD GAME MKUU ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ™Œ๐Ÿซฐ

baada ya mechi ya kwanza ulinifanya niende kwenye store ya makocha wangu pale nitafute wa kunipa matokeo mana sio kwa hiyo possession game yako ๐Ÿ”ฅ๐Ÿฅด๐Ÿ˜€
unaanza pasi nyuma kwa kipa mpaka unafika mbele unafunga mi nashikilia matchup tu ๐Ÿ˜‚๐Ÿ™Œ
 
Nashukuru sana mkuu....yes nacheza hivyo sababu siwezi fanya movement nyingi mkuu kwenye game....hahaha nashukuru nimejifunza vingi mkuu.
 
Wakuu mjipange bingwa Kandambili ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ