Uzuri namba zenu za efootball wote Ninazo humu nitawapigia wote
Hii ni perfect meta formation ๐Uzuri namba zenu za efootball wote Ninazo humu nitawapigia wote๐คฃ๐คฃ๐คฃ
In the name of Torres Acceleration Burst
Bergkamp Game changing pass
In the name of Aron Wan Bissaka my Favorite full back
And in the name of Thomas Partey alieondoka na ubingwa wa Arsenal๐๐๐
Coins naona hazifiki nimchukue Martinez๐๐ nimeshakuwa Obsessed na LBCView attachment 3461417
Nimeadjust baada ya kuangalia back ya bwana Razorblade ๐คฃ๐คฃ๐คฃhakuna sehemu utapita pale bila kuwavuta hao jamaaHii ni perfect meta formation ๐
๐๐๐๐ we jauWakuu account yangu ya Myunani imepata mteja soon tuu naachana nayo๐๐๐
Done deal all sealed agreement 10k selling fee minus 4k ya silivester na Guardiola minus coins za 5K faida inayobaki ni 1K minus bundle nililotumia 20k nakuwa nimepata Loss ya 19K pamoja na Owen๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ
Siwezi kuwa na account mbili muda sina๐๐๐๐ we jau
Account ina gundu + wachezaji hawajitumi kazi kuvizia tu ndo wanavyopata magoli ๐Siwezi kuwa na account mbili muda sina
Ilibid nifanye maamuzi magumu tuu๐๐
Kwanzia leo kaka.. ila deadline itakuwa kesho, natuma fixture muda huuHivi mechi zinaanza leo au kesho
Kama inawezekana toa fixture za msimu mzima watu tujipange kisakolojia ๐Kwanzia leo kaka.. ila deadline itakuwa kesho, natuma fixture muda huu
๐ ๐ au niwape link ukimkosa opponent anaetakiwa acheze leo, unadeal hata na wa keshokutwa mmalizane ๐Kama inawezekana toa fixture za msimu mzima watu tujipange kisakolojia ๐
Nzuri hiyo cha msingi mechi za mwisho zichezwe muda mmoja๐ ๐ au niwape link ukimkosa opponent anaetakiwa acheze leo, unadeal hata na wa keshokutwa mmalizane ๐
Dah ๐คฃAccount ina gundu + wachezaji hawajitumi kazi kuvizia tu ndo wanavyopata magoli ๐
Nadhani hata Yule mdogo wako nae ameikataa hiyo.
Dah account zako zote kali mzee๐๐๐Ulipata wateja wawili niletee mmoja mkuu๐
Usisahau ushauri niuzie ipi
Nimeangalia hii fixture hadi Nimechoka mkuu .... Sielewi nakuwaje na loss mapema hiviKandambili1 huu mwanzo mgumu sana nimeyakanyaga ๐
Hahah tutaloss wote labda..Nimeangalia hii fixture hadi Nimechoka mkuu .... Sielewi nakuwaje na loss mapema hivi
Tupande saa ngapi mkuu?